GE2025 Polepole acharuka: CCM yavunja Misingi, Haki yazimwa, Katiba ilichakachuliwa na Utekaji wazidi kutisha

GE2025 Polepole acharuka: CCM yavunja Misingi, Haki yazimwa, Katiba ilichakachuliwa na Utekaji wazidi kutisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mkutano wake huu hapa japo haikaanza:-
Ndugu Humphrey H. Polepole is inviting you to a scheduled Zoom meeting.

Topic: Mkutano wa Ndg. Polepole na Wanahabari
Time: Jul 18, 2025 11:00 AM Nairobi
Join Zoom Meeting


Meeting ID: 681 880 7495
Passcode: eHe53w
Tumeshajoin tuone anavyoanza kutubu
 
Polepole siyo mtu mwepesi kiasi hicho.
Kosa kubwa walifanya kumpeleka Cuba ambako kuna sehemu ya mafunzo ya kijasusi.
Yule mjamaa na kule ndiko ujamaa umeshika hatamu.
Aliye toa wazo apelekwe Cuba alimpigisha shoti boss.
Balozi hawezi hudhuria mafunzo bila serikali yake kujua.

Achana na movies na riwaya. Uhalisia hauko hivyo.
 
Mkutano wake huu hapa japo haikaanza:-
Ndugu Humphrey H. Polepole is inviting you to a scheduled Zoom meeting.

Topic: Mkutano wa Ndg. Polepole na Wanahabari
Time: Jul 18, 2025 11:00 AM Nairobi
Join Zoom Meeting


Meeting ID: 681 880 7495
Passcode: eHe53w
Nafasi zimejaa.....zilikuwa nafasi 500 tu.....wahuni wamejaza zote.
 
Y
Hii nchi hii!
Huyu Polepole wa kusababisha YouTube ikazimwa!?
Seriously!!?
Huyu Polepole ana ukubwa huu, au anakuzwa tu!?
Kwani Youtube imezimwa? Basi huko serikalini hatuna watu. Sasa kile kibwengo si kingebwabwaja tu watanzania watachambua ana madhara gani sisimizi yule? Sasa hao washauri wa Rais mbn wataanza kukimbia vivuli vyao? Watazima mpk lini
 
1752827731823.jpeg
 
Umeona alivyotoa kicheko cha kebehi kwa watekaji? Yule inaonekana ni zaidi ya tumjuavyo
uzuri wa huyu ndugu, anawafahamu wahuni wote wa Taifa hili. na kukaa kwake Quba kwa muda bila shaka amejifunza mbinu za kukabiliana na wahuni wa aina zote. Zaidi sana ana Mungu na maombi ya watakatifu nyuma yake. Yuko upande wa haki ambako Mungu hukaa siku zote.
 
Ana drama nyingi kama anataka fanyiwa send off, Hakuna press wala Nini, watamshika sio mda mrefu, au watatoa cable za internet baharini kuizima internet Tanzania nzima.

Mtu anaangaika utazani anaenda kulipiwa mahari bwana????!!?
Kuzima internet itakuwa aibu na fedheha kubwa kwa serikali na kumpaisha sisimizi hilo
 
Back
Top Bottom