saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,673
- 7,811
Acheni kumkweza kila mtu tumieni akili ht kidogo. Dawa ya huyo ni kuvamia hiyo press na kumharibia kisaikolojiauzuri wa huyu ndugu, anawafahamu wahuni wote wa Taifa hili. na kukaa kwake Quba kwa muda bila shaka amejicunza mbinu za kukabiliana na wahuni wa aina zote. Zaidi sana ana Mungu na maombi ya watakatifu nyuma yake. Yuko upande wa haki ambko Mungu hukaa siku zote.