sasa hao watakaotoa cabe baharini mbona hawana akili?Ana drama nyingi kama anataka fanyiwa send off, Hakuna press wala Nini, watamshika sio mda mrefu, au watatoa cable za internet baharini kuizima internet Tanzania nzima.
Mtu anaangaika utazani anaenda kulipiwa mahari bwana????!!?
Ngoja nitulie pembeni tuHakuna lisilowezekana chini ya jua.
Naamini wakubwa wataweka sawa.
Hiyo hela haitoshi nauli ya kutorokea uswisi.NAUZA NYUMBA INA APARTMENT MBILI DAR
Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap 0673294681. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.
Bei tsh. 23,000,000.00
Nitapunguza kidogo.
Nicheki wasap kama unahitaji picha na detailed information. Kataa mawinga
Huyu ni Nesi pale hospital ya wilaya Tunduruni wazi kuwa na wewe ni mmoja wa hao wahuni wa Taifa hili. Muda wenu unahesabika
tunaendelea kumsikiliza, kumbe alikuwa recruited na tiss tangu akiwa shule. anachotakiwa kufanya, atengeneza clip zake kadhaa arushie hata kenya tu watu tutajua namna ya kusambaziana.
Hii ndiyo busara.Ngoja nitulie pembeni tu
Sio rahisi ivyoPolepole siyo mtu mwepesi kiasi hicho.
Kosa kubwa walifanya kumpeleka Cuba ambako kuna sehemu ya mafunzo ya kijasusi.
Yule mjamaa na kule ndiko ujamaa umeshika hatamu.
Aliye toa wazo apelekwe Cuba alimpigisha shoti boss.
Sio rahisi ivyo Ayo ni mambo ya SiasaAlikosea kutangaza. Kama vipi arekodi video atupie kabla hawajampoteza ili tupate ubuyu.