Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,789
- 22,756
Tumia app ya claudeflare:Wakuu Hadi VPN zinagoma, ni nini hiki!!!?
Angalia post ya mwisho hapa: VPN 3 Bora za Kutumia Twitter na Telegram Tanzania (2025)
Tumia app ya claudeflare:Wakuu Hadi VPN zinagoma, ni nini hiki!!!?
mchafu ananukaMama ni muoga sana,yeye anaongea anavyotaka lakini anawazuia wenzake kuongea,je huyu Mama ni msafi?
Wakuu!
Ule Mkutano na Vyombo vya Habari wa Humphrey Polepole ndio leo – Julai 18, 2025 saa 5:00 asubuhi.
Awali, mkutano huu ulikuwa umepangwa kufanyika Julai 17, lakini Polepole alitangaza kuusogeza mbele hadi leo Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025.
Unategemea kusikia nini kutoka kwake?
"Leo nazungumza nikiwa na Moyo mzito sana, imenichukua muda kidogo kutafakari mambo haya, kwa moyo mzito kabisa nimelazimika kuchukua uamuzi niliouchukua"
"Wahuni ndio wameshiriki kuchakachua maoni ya Wananchi ya mapendekezo ya rasimu ya Katiba"
Weka pichaNAUZA NYUMBA INA APARTMENT MBILI DAR
Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap 0673294681. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.
Bei tsh. 23,000,000.00
Nitapunguza kidogo.
Nicheki wasap kama unahitaji picha na detailed information. Kataa mawinga
Wahuni ni watu wa aina Gani?Wahuni ndio wameshiriki kuchakachua maoni ya Wananchi ya mapendekezo ya rasimu ya Katiba"
Kimya cha Kinana kinanishangaza sana.Mkuu ukiona kimya kingi ujue Kuna watu nyuma ya pazia huko wanafanya kila liwezekanalo kunusuru hali isiharibike zaidi ya sasa.
Kuna wakubwa huko wanaangalia jinsi ya kuweka sawa "mambo yasiharibike saana" . In JK's voice.
Aingie katika point Ametumia muda mwingi kuelezea usuli wakeWanampigia simu katikati ya session ili kumtisha asimwage mboga zilizobaki
Sasa Hiyo Press iko wapi???
Watanzania au mazombie wa ccm?Hizo zitakuwa reform za mamako, watanzania OKTOBA WANATIKI
Tena ananuka damu na haki za watu alizopora.mchafu ananuka
Na Facebook nayo ni kama imeliwa kichwa bila VPN hautoboiAingie katika point Ametumia muda mwingi kuelezea usuli wake
Angeachana na hizo simu, atakuja kupigiwa moja hiyo na press iishie hapohapo.Wanampigia simu katikati ya session ili kumtisha asimwage mboga zilizobaki