GE2025 Polepole acharuka: CCM yavunja Misingi, Haki yazimwa, Katiba ilichakachuliwa na Utekaji wazidi kutisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
SLOWSLOW. === NYUMBA NI KAMA HSINA MWENYEWE HIVI ===

lakini detail za kina hatoi anasema ni matakwa ya kisheria
 
Hiyo serikali ilikuwa wapi mpaka anaandika yale hawaja muwai na kufanya damage control?
Unafikiri yale ni madogo?
Unafikiri atahudhuria mafunzo wazi wazi kama afisa wa serikali?
Maana ya ujasusi ni nini kama atafanya kwa uwazi hivyo?
Uzingatie ile amefanya ni aina ya uasi.
Kuandika si hata wewe hapa upo unaandika.
Ebu nikuulize, nguvu unayotumia kuandika ndio hiyo hiyo unayoitumia kuhudhuria mafunzo hata ya kuendesha gari, achana na ya ujasusi?

Kwenye ubalozi kuna maofisa kadhaa, ambao Balozi mwenyewe anawakuta na wengine hata hawapo chini yake wala hawatoi report kwake. Jukumu la kufika sehemu fulani kukutana na fulani linajulikana, hawezi zurula vilabuni wala kwenda gym uchwara mitaani uko. Wala hawezi hudhuria mafunzo kichwakichwa bila serikali yake kujua.

Mnaongea as if ubalozini ni nyumba ya kupanga na cheo kile ni kama kijumbe wa vikoba. Mnamkumbuka yule Balozi aliyeitwa kutoka kituo chake Ulaya akaja kufariki kwa gari kuungua moto akiwa peke yake kuelekea kwao Kaskazini?
 
Hakuna kinacho shindikana na ndiyo maana kunatokea mapinduzi sehemu mbalimbali duniani.
 
Back
Top Bottom