GE2025 Polepole acharuka: CCM yavunja Misingi, Haki yazimwa, Katiba ilichakachuliwa na Utekaji wazidi kutisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tuma picha please
 
Kwa walichofanya jana, kasema wasilaumiane na ataongea 25%, na wataoguswa zaidi ni wenye mamlaka. Alafu inaonekana alipo Pole Pole ndio alipo Gwajima, ukiangalia background za vidoe zao
 
atafunguka tu kwa 100% maana anahasira za dada yake kuchukuliwa
Muoga muoga angekua mafia baada ya dada yake kuchukuliwa angekula bunda kwanza km hajaelezwa chochote hizo habari za dada yake kuchukuliwa angezisema saa 5 wakati anaongea kimkakati ilitakiwa afanye hivyo sasa yeye anakurupuka kidogo yupo kwenye camera anaongea ujinga, bro km unasoma hii comment acha ujinga njoo saa 5 ufanye kitubio basi maisha mengine yaendelee
 
Huu ni mkakati wapili wa TISS kuzima motto wa Lissu baada ya ule wa gwajima kufeli
 
Huu ni mkakati wapili wa TISS kuzima motto wa Lissu baada ya ule wa gwajima kufeli
Akili kisada wewe, Hakunaga serkali makini inaweza kujiingiza kwenye changamoto ya kudharaulika na serkali kama hii.
 
Akili kisada wewe, Hakunaga serkali makini inaweza kujiingiza kwenye changamoto ya kudharaulika na serkali kama hii.
Polepole anaenda kutubu yaan hapo kashaziandaa nondo za kutubu km zote atatubu dhambi zake zote leo
 
Vieteee...
 
Leo Waandishi wa Habari watapokea Simu nyingi Toka Kwa Watu wasio wafahamu, ama Watu wanaowafahamu ila hawajawasiliana miaka mingi.

Issue itakua una connection ama access ya Mkutano wa Polepole...!? Hivi Kwa ulivyosikia utakua live ama wa Mtandaoni!?
 
Ana drama nyingi kama anataka fanyiwa send off, Hakuna press wala Nini, watamshika sio mda mrefu, au watatoa cable za internet baharini kuizima internet Tanzania nzima.

Mtu anaangaika utazani anaenda kulipiwa mahari bwana????!!?
Washaanza mtandao unazingua asubui hii, nashauri arekodi arushe mitandaoni tutazikuta tu 😡
 
DIGI DIGI HAWEZI KUFANYA MKUTANO NA WAANDISHI LABDA AFANYE AKIWA ONLINE LIVE YOUTUBE AKIWA GHETTO MAFICHONI
 
Ana drama nyingi kama anataka fanyiwa send off, Hakuna press wala Nini, watamshika sio mda mrefu, au watatoa cable za internet baharini kuizima internet Tanzania nzima.

Mtu anaangaika utazani anaenda kulipiwa mahari bwana????!!?
Kama drama mnaangaika nae nini?
 
Mwache ateme nyongo ila ajiangalie asije akatekwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…