Ile ilikuwa geresha ya kutisha watekaji tu.Yule Augustino alisema,Polepole ana pitchi mwilini. Ndo maana watekaji wanamtafuta. Sijui kwa nini alisema hivyo wazi wazi ? Maana kwa kusema hivyo watekaji lazima wamtafute kwa udi na uvumba.Pole pole nae kafa ni siri nyingi mno
NasikiaChip waliitoa pale pale nyumbani ndo maana ya zile damu .Yule Augustino alisema,Polepole ana pitchi mwilini. Ndo maana watekaji wanamtafuta. Sijui kwa nini alisema hivyo wazi wazi ? Maana kwa kusema hivyo watekaji lazima wamtafute kwa udi na uvumba.Pole pole nae kafa ni siri nyingi mno
kafa?Yule Augustino alisema,Polepole ana pitchi mwilini. Ndo maana watekaji wanamtafuta. Sijui kwa nini alisema hivyo wazi wazi ? Maana kwa kusema hivyo watekaji lazima wamtafute kwa udi na uvumba.Pole pole nae kafa ni siri nyingi mno
Nilihisi, aliongea vile ili kumpa mdogo ake siku za kuishi. Wangeanza kuhangaika kutafuta chip ambayo haipo, possibly wasingefanya maamuzi yeyote ya kumsafirisha au kumuua hadi waipate.Ile ilikuwa geresha ya kutisha watekaji tu.
Hana Akili period...alidai waliomteka dada yake amewaona.
..na akadai anawajua waliowatuma.
..badala ya kuwaweka wazi yeye akaendelea na mambo yake.
..watekaji wakajipanga upya na sasa wamemteka.
..hili ni fundisho wa sisi wengine tuliobaki.
..Si busara kutowafichua wahuni, na watekaji.
Kwenye series za Polepole na Gwajima kila wakija na epsode zao kwenye social media walikuwa wanamalizia kwa kusema, "...siku nyingine nikirudi nchi itasimama...., nitakuja na vitu vizito..." kana kwamba anaowasema wao hawana mipango ya kumdhibiti..alidai waliomteka dada yake amewaona.
..na akadai anawajua waliowatuma.
..badala ya kuwaweka wazi yeye akaendelea na mambo yake.
..watekaji wakajipanga upya na sasa wamemteka.
..hili ni fundisho wa sisi wengine tuliobaki.
..Si busara kutowafichua wahuni, na watekaji.
Umepata wapi taarifa kama tayari ameuwawa?Yule Augustino alisema,Polepole ana pitchi mwilini. Ndo maana watekaji wanamtafuta. Sijui kwa nini alisema hivyo wazi wazi ? Maana kwa kusema hivyo watekaji lazima wamtafute kwa udi na uvumba.Pole pole nae kafa ni siri nyingi mno
Umezitoa wapi hizi taarifa?NasikiaChip waliitoa pale pale nyumbani ndo maana ya zile damu .
Alikosea sana kusema vile, watekaji wana resources wanaweza kumpeleka kwenye X ray machine ili kujua chip iko implanted sehemu gani ya mwili wake.Yule Augustino alisema,Polepole ana pitchi mwilini. Ndo maana watekaji wanamtafuta. Sijui kwa nini alisema hivyo wazi wazi ? Maana kwa kusema hivyo watekaji lazima wamtafute kwa udi na uvumba.Pole pole nae kafa ni siri nyingi mno
Umezitoa wapi hizi taarifa?
kafa?
Ndio maanaa kaka yake amesema anawajua hivi huoni anavyoongea kwamba anawajua au unafikiri Mwafwele amemtaja kwa bahati mbaya?..alidai waliomteka dada yake amewaona.
..na akadai anawajua waliowatuma.
..badala ya kuwaweka wazi yeye akaendelea na mambo yake.
..watekaji wakajipanga upya na sasa wamemteka.
..hili ni fundisho wa sisi wengine tuliobaki.
..Si busara kutowafichua wahuni, na watekaji.
Hujajibu swali. Huo uhakika uhakika umeutoa wapi?Biashara ishaisha ,polepole ndiyo ntolee hautomsikia tena kama Mdude,Soka etc
Siyo tu ana taarifa inaonekana anaambiwa kila wanachofanya na watu walio ndani ya genge la Abdul na Mafwele.Ndio maanaa kaka yake amesema anawajua hivi huoni anavyoongea kwamba anawajua au unafikiri Mwafwele amemtaja kwa bahati mbaya?
Wewe elewa biashara ishaisha ,washamalizana naye,mambo ya kusema sijui yupo kigamboni sijui yupo underground ni uzushi tu......Jamaa wakiteka ndani ya siku 2 kama hawana nia na wewe wanakuDAMPU ila zikizidi siku 2 means wanakupoteza mazima hata mfupa hauonekani.Hujajibu swali. Huo uhakika uhakika umeutoa wapi?
Watu wamewekeza juhudi wanapambana kumtafuta hadi pale itapojulikana rasmi vinginevyo.
Haisaidii chochote kwa wakati huu watu wanapambana kumtafuta, wewe kuleta uzushi kwamba amekwisha kufa unless una ushahidi usio na shaka.
Huu ni uzushi au ushahidi? Unasaidiaje jitihada za kupiga kelele kumtafuta Polepole na kuiwajibisha serikali na kukomesha haya matendo ya utekaji, utesaji?Wewe elewa biashara ishaisha ,washamalizana naye,mambo ya kusema sijui yupo kigamboni sijui yupo underground ni uzushi tu......Jamaa wakiteka ndani ya siku 2 kama hawana nia na wewe wanakuDAMPU ila zikizidi siku 2 means wanakupoteza mazima hata mfupa hauonekani.