macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Ni kweli mkuu. Wabongo ndivyo tulivyo. Tuna-treat kila jambo kama tunaangalia movie. Hata wakitajwa watu wanakuwa kimyaHata polepole alishawataja. Ndio nami nimemuuliza JokaKuu , alitaka watajwe kwa style ipi zaidi ya wanavyootaja kila Mara? Katajwa mafwele mara zote, katajwa Abdul.
Huyu joka kuu anataka watajwe kwa style ipi?
Tukubali hatuna Cha kufanya. Uamuzi wa kuacha au kuendelea wanao wao wenyewe Wala tusitafute kichaka cha kujifichia
Joka kuu umekumbwa na nini? Polepole alishasema kikosi cha utekaji kilipo na kinaongozwa na nani..nadhani Polepole angeuonyesha umma waliomteka dada yake tungekuwa tumepiga hatua nyingine nzuri.
Tukio la dada yake alishaeleza, ndio nimekuuliza ilibuidi aeleze kwa namna ipi?
Mmetajiwa kuwa kikosi kipo chini ya abdul? Mmetajiwa mafwele. Umeshawajua je umefanya jitu gani?
Taarifa muhimu ndio hizo,mmetajiwa sana. Ni taarifa zipi zaidi ya hiuzo ulitaka kuzisikia?
Hapo ndio nashindwa kumuelewa joka kuu, ametajiwa mafwele. Haya joka kuu ushatajiwa mafwele, nini kinafuata?Ni kweli mkuu. Wabongo ndivyo tulivyo. Tuna-treat kila jambo kama tunaangalia movie. Hata wakitajwa watu wanakuwa kimya
Mkuu humjui mafwele sura yake? Humjui Abdul sura yake?..ni kweli wametajwa.
..lakini wangeonyeshwa wakajulikana kwa sura, au maumbile, ingesaidia zaidi.
Mkuu humjui mafwele sura yake? Humjui Abdul sura yake?
Humkusikia vizuri polepole? Leo kaka yake karudia hilo tukio na kaeleza tena kuwa mafwele alikuwepo wakati dada yake alipoenda kukamatwa..watu waliokuwa kwenye tukio.
..abduli na mafwele hujificha nyuma ya vijana wao.
Hana Akili period.
Siyo tu ana taarifa inaonekana anaambiwa kila wanachofanya na watu walio ndani ya genge la Abdul na Mafwele.
Kuna uwezekano anapata live information kutoka kwa wazalendo pamoja na ushahidi wa mawasiliano yao, mipango yao mpaka video zao wakiwa kazini.
Nafikiri wanataka wamkamate wamuulize nani anampa taarifa na kumfunga mdomo.
Itakuwa risk kubwa kwao watekaji kumuua Polepole wakati kuna ushahidi wao ndio waliomteka, pamoja na dada yake huko nyuma.
Huna Akili kama Yeye...wasio na akili ni wale walioshindwa kujibu hoja za Polepole na kuishia kutuma watu wamteke.
Huna Akili kama Yeye.
Ile ilikuwa geresha ya kutisha watekaji tu.
Dada yake na kaka yake si wapo alishawaambia na akina nani waliomteka dada yake na record za CCtV si zipo au zimefutwa?..alidai waliomteka dada yake amewaona.
..na akadai anawajua waliowatuma.
..badala ya kuwaweka wazi yeye akaendelea na mambo yake.
..watekaji wakajipanga upya na sasa wamemteka.
..hili ni fundisho kwa sisi wengine tuliobaki.
..Si busara kutowafichua wahuni, na watekaji.
Watu wana uwezo wa kuiba mpaka uchaguzi, wanateka na kuua watu ili iweje sasa?..nilitegemea Mama atajiepusha na mambo ya utekaji, na mauaji.
..angepiga kazi wakosoaji wake wangekosa hoja za kumshambulia.
..kwa maoni yangu utekaji na mauaji yanawapa wakosoaji wake hoja za kudumu za kumshambulia na kumdhoofisha.
..mbele ya safari, Mama akisema anataka maridhiano, suala la waliotekwa, kutekwa, na kupotezwa, litachukua nafasi kubwa, na kuleta ugumu kufikia maridhiano.
Wenda kaumizwa ila hajafa, maneno ya Kaka yake tusiyachukulie poa , anasema atatoa up to date kaumia wapi na wapi alipo ,na ole wake atakae mzulu , aya sio maneno ya kitoto.Yule Augustino alisema,Polepole ana pitchi mwilini. Ndo maana watekaji wanamtafuta. Sijui kwa nini alisema hivyo wazi wazi ? Maana kwa kusema hivyo watekaji lazima wamtafute kwa udi na uvumba.Pole pole nae kafa ni siri nyingi mno