Polepole sijui kama coz ya Security ilimpita pembeni kitondo cha Butiku kukanusha polepole alitakiwa aondoke alipokuwa anaishi mda huo huo bila kuaga yoyote na kuazima kila kitu aondoke Cash Cash Mpaka wowote kama ni Namaga na Tunduma tena upande wa pili anawasha kila kituIla huyu mwamba ametekwa kindezi sana yaani kama kuku kizembe sana
ukishakuwa adui wa state yoyote unatakiwa uishi kwa machale na mawenge mda wote!
Watu wana uwezo wa kuiba mpaka uchaguzi, wanateka na kuua watu ili iweje sasa?
Hujasikia popote.NasikiaChip waliitoa pale pale nyumbani ndo maana ya zile damu .
Mbona Mo alipatikana baada ya zaidi ya hizo siku ulizozitaja?
..alidai waliomteka dada yake amewaona.
..na akadai anawajua waliowatuma.
..badala ya kuwaweka wazi yeye akaendelea na mambo yake.
..watekaji wakajipanga upya na sasa wamemteka.
..hili ni fundisho kwa sisi wengine tuliobaki.
..Si busara kutowafichua wahuni, na watekaji.
Nafikiri kosa lilikuwa kukataa wito wa police. Isingekuwa rahisi kumdhulu chini ya ulinzi wao wenyewe. Sana sana wangemdungulia kesi ya uchochezi na kumshikilia kwa muda mrefu.
Not underestimate any one , hii aliwahi niambia baba yangu, hasa pale alipo niambia enzi zile aliwahi okolewa na kichaa akitokea kazini baada ya kupata shida ya tumbo kuuma sana akitokea kazini enzi zile...alidai waliomteka dada yake amewaona.
..na akadai anawajua waliowatuma.
..badala ya kuwaweka wazi yeye akaendelea na mambo yake.
..watekaji wakajipanga upya na sasa wamemteka.
..hili ni fundisho kwa sisi wengine tuliobaki.
..Si busara kutowafichua wahuni, na watekaji.
Basi tena mkuu kashatindinganya mambo, wazee wa kubananga wakambagaza.Hana Akili period.