Kumbe umenipata uzuri. Jee Kikwete aliingilia kile kikao kama nani?Ndio hata mimi nashangaa Rais Mstaafu Kikwete kwa mjibu wa wajumbe kikatiba alikuwaje mjumbe kwenye kile kikao
Sawa kumfunga mtu mikono kabla ya kumuua ipo kwenye ibara ngapi ya CCM.Katika Ibara hii ndio unapata ni nini haswa nguvu na mamlaka ya Mkutano mkuu.
Tusipotoshe umma kwa kutokusoma vyema katiba ya CCM.
We umeelewaKatika Ibara hii ndio unapata ni nini haswa nguvu na mamlaka ya Mkutano mkuu.
Tusipotoshe umma kwa kutokusoma vyema katiba ya CCM.
Ni hivyo kwa vyovyote vile Mkutano Mkuu hauwezi kupoka haki za kikatiba za uchaguzi kama zinavyoelekezwa kikatiba.Mkutano mkuu ndio chombo cha mwisho kinachotafsiri,kubadili,kubariki na kuamua ...Kwa nini hutaki kuikubali haki hiyo ya mkutano mkuu?kwa nini hutaki kukubali ultmate na absolute power ya mkutano mkuu?
Yaani unataka maamuzi na taratibu za vikao vya chini ndio yawe makubwa kuliko yale ya mkutano mkuu?
Lazima kuwa na Chombo chenye ultmate suprimacy....
Usichotaka kuelewa ni kipi?Ni hivyo kwa vyovyote vile Mkutano Mkuu hauwezi kupoka haki za kikatiba za uchaguzi kama zinavyoelekezwa kikatiba.
Katiba ya ccm ibara ya 20 1 inaelekeza taratibu za uchaguzi ambazo mkutano mkuu lazima uziheshimu.
Ukweli ni kwamba kwa mtu yeyote mwenye akili timamu na muelewa lazima ajue kwamba kilichofanyika kwenye ule mkutano mkuu ni uhuni na uvunjaji mkubwa wa katiba ya ccm
Ningekuwa sikuisoma ningejuaje kuwa umetumia toleo la 2017 badala ya toleo la 2022?tatizo nimekuwekea katiba lakini huisomi
Wangetakiwa kubadili basi hivo vifungu vya uchaguzi ili viruhusu ule uhuni waliofanya .Usichotaka kuelewa ni kipi?
Mkutano mkuu unao uwezo hata wa kuammend katiba.mkutano mkuu una mamlaka ya mwisho
Ulikuwa maalumu kwa ajili ya kumteua makamu mwenyekiti wa chama na siyo mkutano mkuu wa uchaguzi. Utaratibu ulipaswa kufuatwa kumpata mgombea urais. Katiba ilivunjwa huo ndiyo ukweli.unajua kwa nini uliitwa mkutano mkuu maalumu?
Asante kwa swali zuri sanaMbona Mkutano mkuu wa Chadema uliowapitisha Mnyika na wengine Msajili hautambui naruzuku amezuia
kwa hiyo umekubali..kwamba ni mkutano halali.Ulikuwa maalumu kwa ajili ya kumteua makamu mwenyekiti wa chama na siyo mkutano mkuu wa uchaguzi. Utaratibu ulipaswa kufuatwa kumpata mgombea urais. Katiba ilivunjwa huo ndiyo ukweli.
Naomba unisaidie kufahamu kama mkutano mkuu unaweza kufanya hata kazi ambazo hazijaainishwa na katiba kuhusu majukumu yake. Soma katiba ya mwaka 2022 ibara ya 101 halafu ufafanue ni wapi hayo uliyoyaeleza yanasimama.Mkutano mkuu ndio chombo cha mwisho kinachotafsiri,kubadili,kubariki na kuamua ...Kwa nini hutaki kuikubali haki hiyo ya mkutano mkuu?kwa nini hutaki kukubali ultmate na absolute power ya mkutano mkuu?
Yaani unataka maamuzi na taratibu za vikao vya chini ndio yawe makubwa kuliko yale ya mkutano mkuu?
Lazima kuwa na Chombo chenye ultmate suprimacy....
Mnahangaika sanaKatika Ibara hii ndio unapata ni nini haswa nguvu na mamlaka ya Mkutano mkuu.
Tusipotoshe umma kwa kutokusoma vyema katiba ya CCM.