GE2025 Polepole amezungumzia suala nyeti sana kuhusu Makamu Rais Mpango na Waziri Mkuu kutokuendelea na Uongozi Serikalini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Mods ,tafadhali msiiunganishe Huu Uzi.

Hii ni Hoja Nzito sana ambayo katika yote inaendelea kutulia Uzito wa Kwanini Samia hatakiwi kua Rais Tena !!.

Mh Polepole akigusia kuhusu Mzee Mpango kujiuzulu , anasema alishangaa inakuaje Makamo Urais kutangaza kujiuzulu kabla ya muda kuisha?

Anasema , Mzee Mpango siku akiwa na Confidence kama yake, atasema ni kwanini Alijiuzulu, Wala sababu sio Uzee wake ,Wala Sijui kutumika sana .

Anasema pia, Aliwahi Mshangaa Mzee Majaliwa kutangaza Et ataenda kugombea Ubunge !!

Lakini mwisho katika haya ,Mh Polepole anasema "Rais yeye hajiulizi? Makamo wa Urais haendelei, Waziri Mkuu naye haendelei, Sasa kwann Kuna Exception Kwa RAIS?.

View: https://youtu.be/7AEiEnm_Y04?si=M2dL_CywilCBQ7Lc
 
CCM Kuna vyama viwili vya siasa kimoja kiongozi wake wa sasa ni Kikwete na kingine ni hichi ambacho Polepole anakizungumzia... Hawa watu kwa Busara wakubali kuunda katiba mpya kwa faida yao na nchi.

Kuna siku wataanza kuuana hadharani
 
Nani katangaza kujiuzulu kabla ya muda??

Maana Mpango bado Makamu wa Rais mpaka October.

Majaliwa bado waziri mkuu mpaka oktoba.
Jamaa wamekwama Vibaya sana na ndoto zao ya mchana kweupe!!!

eti leo tumaini lao lipo kwa Polepole mwasilika wa kupotea kwenye Siasa za TZ !!!!

Polepole Mungu Akupi vyote ungekuwa na Subra yumkin ungekuja kuwa mwasiasa mkubwa kupitia CCM !!

Polee sana Sijui Nani kakuingiza chaka.
 
Polepole ni mhuni tu
 
ILA KUHUSU makamu,huwa najiuliza, kipindi kile kalazwa akiwa waziri enzi za jiwe, MPAKA WATU kumkatia tamaa, kwani WATZ hamkuwa na TAARIFA? MBONA inshu ilikuwa wazi sana. Mi sikutegemea kama atapona hata SASA NAHISI BADO hajawa SAWA.

Hivo kuacha siasa SIONI tatizo. Mitihani aliyo pitia mzee wetu huyu ,Yuko sawa kupumzika, kungekua na shida angejiudhuru moja kwa moja bila kusubiri muda UISHE NDO huwa Iko hivo mkuu tusichonganishe.
 
Mods ,tafadhali msiiunganishe Huu Uzi.

Hii ni Hoja Nzito sana ambayo katika yote inaendelea kutulia Uzito wa Kwanini Samia hatakiwi kua Rais Tena !!.

Mh Polepole akigusia kuhusu Mzee Mpango kujiuzulu , anasema alishangaa inakuaje Makamo Urais kutangaza kujiuzulu kabla ya muda kuisha?

Anasema , Mzee Mpango siku akiwa na Confidence kama yake, atasema ni kwanini Alijiuzulu, Wala sababu sio Uzee wake ,Wala Sijui kutumika sana .

Anasema pia, Aliwahi Mshangaa Mzee Majaliwa kutangaza Et ataenda kugombea Ubunge !!

Lakini mwisho katika haya ,Mh Polepole anasema "Rais yeye hajiulizi? Makamo wa Urais haendelei, Waziri Mkuu naye haendelei, Sasa kwann Kuna Exception Kwa RAIS?.

View: https://youtu.be/7AEiEnm_Y04?si=M2dL_CywilCBQ7Lc

Kwahiyo kwasasa nchi hakuna PS? Huyu Pole Pole mjinga kweli... Hakuna sehemu ya Katiba inayosema kua mgombea mwenza atagombea mihula miwili au kuongoza mihula miwili pia. POLE POLE ASAIDIWE
 
Mods ,tafadhali msiiunganishe Huu Uzi.

Hii ni Hoja Nzito sana ambayo katika yote inaendelea kutulia Uzito wa Kwanini Samia hatakiwi kua Rais Tena !!.

Mh Polepole akigusia kuhusu Mzee Mpango kujiuzulu , anasema alishangaa inakuaje Makamo Urais kutangaza kujiuzulu kabla ya muda kuisha?

Anasema , Mzee Mpango siku akiwa na Confidence kama yake, atasema ni kwanini Alijiuzulu, Wala sababu sio Uzee wake ,Wala Sijui kutumika sana .

Anasema pia, Aliwahi Mshangaa Mzee Majaliwa kutangaza Et ataenda kugombea Ubunge !!

Lakini mwisho katika haya ,Mh Polepole anasema "Rais yeye hajiulizi? Makamo wa Urais haendelei, Waziri Mkuu naye haendelei, Sasa kwann Kuna Exception Kwa RAIS?.

View: https://youtu.be/7AEiEnm_Y04?si=M2dL_CywilCBQ7Lc

Polepole hana moral authority ya kukosoa chochote kwa sasa. Hoja zake nyingi ni nyepesi kama sufi.
 
Mods ,tafadhali msiiunganishe Huu Uzi.

Hii ni Hoja Nzito sana ambayo katika yote inaendelea kutulia Uzito wa Kwanini Samia hatakiwi kua Rais Tena !!.

Mh Polepole akigusia kuhusu Mzee Mpango kujiuzulu , anasema alishangaa inakuaje Makamo Urais kutangaza kujiuzulu kabla ya muda kuisha?

Anasema , Mzee Mpango siku akiwa na Confidence kama yake, atasema ni kwanini Alijiuzulu, Wala sababu sio Uzee wake ,Wala Sijui kutumika sana .

Anasema pia, Aliwahi Mshangaa Mzee Majaliwa kutangaza Et ataenda kugombea Ubunge !!

Lakini mwisho katika haya ,Mh Polepole anasema "Rais yeye hajiulizi? Makamo wa Urais haendelei, Waziri Mkuu naye haendelei, Sasa kwann Kuna Exception Kwa RAIS?.

View: https://youtu.be/7AEiEnm_Y04?si=M2dL_CywilCBQ7Lc

Kama Mpango mwenyewe kasema anataka kupumzika, hapo kujenga hoja tofauti ni vigumu.

Hata Ndugai kakubali kujiuzulu mwenyewe. Kama kuna kitu tofauti alitakiwa kusimamia msimamo wake, yeye alikuwa mkuu wa muhimili, hakuwajibika kwa rais.

Upumbavu wa CCM wamemfanya rais kama Mungu, mtu huyo huyo rais, huyo huyo Mwenyekiti wa CCM.

Polepole kwa sasa anaonekana anapiga ramli chonganishi. Kwa sababu hatakiwi kuwasemea watu ambao wenyewe hawajalalamika.

Mpango kasema anataka kuishi nje ya siasa aachie wengine, hii si ndiyo habari aliyoisema Polepole ya kubadili oil? Mbona Polepole anaji contradict?

Watu wakijiuzulu kupisha wengine anaona vibaya (Mpango). Watu wakikataa kuwapisha wengine anaona vibaya (Samia).

Polepole anataka nini?

Anataka watu wapishane baada ya muda au hataki watu wapishane?

Au hamtaki Samia tu na haya mengine yote ni zengwe tu?
 
Safi sana Polepole endelea kuwapopoa.

Nimeota Samia naye alitangaza kuachia ngazi mwezi huu.
 
Kwa kweli Samia alitakiwa kujiuzulu.Maana hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayemtaka.Watanzania wote hatumtaki Kwa sababu Hana uwezo wa kuongoza Nchi yetu
 
Back
Top Bottom