Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,556
Mkuu sasa kama wewe unajua unadhani kila mtanzania atakuwa anaelewa? Sasa ni kwanini usiweke hadharani Ili na kutusaidia sie mbumbumbu mkuu. Weka hadharani nini kilimkuta mzee wetu MoangoILA KUHUSU makamu,huwa najiuliza, kipindi kile kalazwa akiwa waziri enzi za jiwe, MPAKA WATU kumkatia tamaa, kwani WATZ hamkuwa na TAARIFA? MBONA inshu ilikuwa wazi sana. Mi sikutegemea kama atapona hata SASA NAHISI BADO hajawa SAWA.
Hivo kuacha siasa SIONI tatizo. Mitihani aliyo pitia mzee wetu huyu ,Yuko sawa kupumzika, kungekua na shida angejiudhuru moja kwa moja bila kusubiri muda UISHE NDO huwa Iko hivo mkuu tusichonganishe.