Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Umeelewa "kutangaza kujiuzulu kabla muda" au umerukia mbele kwenye "kustaafu"Kwahiyo wanasiasa kwao kustaafu ni DHAMBI????
Huo ni USENGEEE
Nani katangaza kujiuzulu kabla ya muda??Umeelewa "kutangaza kujiuzulu kabla muda" au umerukia mbele kwenye "kustaafu"
Kalpana naumwa mafua.Tupo tunangojea litakalo tokea..
Pole jamani bichwa...kunywa maji ya uvugu vugu yenye tangawizi na kalimao...ndo maana leo huongei sanaKalpana naumwa mafua.
Jamaa wamekwama Vibaya sana na ndoto zao ya mchana kweupe!!!Nani katangaza kujiuzulu kabla ya muda??
Maana Mpango bado Makamu wa Rais mpaka October.
Majaliwa bado waziri mkuu mpaka oktoba.
Polepole ni mhuni tuJamaa wamekwama Vibaya sana na ndoto zao ya mchana kweupe!!!
eti leo tumaini lao lipo kwa Polepole mwasilika wa kupotea kwenye Siasa za TZ !!!!
Polepole Mungu Akupi vyote ungekuwa na Subra yumkin ungekuja kuwa mwasiasa mkubwa kupitia CCM !!
Polee sana Sijui Nani kakuingiza chaka.
Kwahiyo kwasasa nchi hakuna PS? Huyu Pole Pole mjinga kweli... Hakuna sehemu ya Katiba inayosema kua mgombea mwenza atagombea mihula miwili au kuongoza mihula miwili pia. POLE POLE ASAIDIWEMods ,tafadhali msiiunganishe Huu Uzi.
Hii ni Hoja Nzito sana ambayo katika yote inaendelea kutulia Uzito wa Kwanini Samia hatakiwi kua Rais Tena !!.
Mh Polepole akigusia kuhusu Mzee Mpango kujiuzulu , anasema alishangaa inakuaje Makamo Urais kutangaza kujiuzulu kabla ya muda kuisha?
Anasema , Mzee Mpango siku akiwa na Confidence kama yake, atasema ni kwanini Alijiuzulu, Wala sababu sio Uzee wake ,Wala Sijui kutumika sana .
Anasema pia, Aliwahi Mshangaa Mzee Majaliwa kutangaza Et ataenda kugombea Ubunge !!
Lakini mwisho katika haya ,Mh Polepole anasema "Rais yeye hajiulizi? Makamo wa Urais haendelei, Waziri Mkuu naye haendelei, Sasa kwann Kuna Exception Kwa RAIS?.
View: https://youtu.be/7AEiEnm_Y04?si=M2dL_CywilCBQ7Lc
Polepole hana moral authority ya kukosoa chochote kwa sasa. Hoja zake nyingi ni nyepesi kama sufi.Mods ,tafadhali msiiunganishe Huu Uzi.
Hii ni Hoja Nzito sana ambayo katika yote inaendelea kutulia Uzito wa Kwanini Samia hatakiwi kua Rais Tena !!.
Mh Polepole akigusia kuhusu Mzee Mpango kujiuzulu , anasema alishangaa inakuaje Makamo Urais kutangaza kujiuzulu kabla ya muda kuisha?
Anasema , Mzee Mpango siku akiwa na Confidence kama yake, atasema ni kwanini Alijiuzulu, Wala sababu sio Uzee wake ,Wala Sijui kutumika sana .
Anasema pia, Aliwahi Mshangaa Mzee Majaliwa kutangaza Et ataenda kugombea Ubunge !!
Lakini mwisho katika haya ,Mh Polepole anasema "Rais yeye hajiulizi? Makamo wa Urais haendelei, Waziri Mkuu naye haendelei, Sasa kwann Kuna Exception Kwa RAIS?.
View: https://youtu.be/7AEiEnm_Y04?si=M2dL_CywilCBQ7Lc
Tuko wengi kabisa. Kama hayatuhusu vile kumbe ni vile hatujui nini tufanye anyway πTupo tunangojea litakalo tokea..
Kama Mpango mwenyewe kasema anataka kupumzika, hapo kujenga hoja tofauti ni vigumu.Mods ,tafadhali msiiunganishe Huu Uzi.
Hii ni Hoja Nzito sana ambayo katika yote inaendelea kutulia Uzito wa Kwanini Samia hatakiwi kua Rais Tena !!.
Mh Polepole akigusia kuhusu Mzee Mpango kujiuzulu , anasema alishangaa inakuaje Makamo Urais kutangaza kujiuzulu kabla ya muda kuisha?
Anasema , Mzee Mpango siku akiwa na Confidence kama yake, atasema ni kwanini Alijiuzulu, Wala sababu sio Uzee wake ,Wala Sijui kutumika sana .
Anasema pia, Aliwahi Mshangaa Mzee Majaliwa kutangaza Et ataenda kugombea Ubunge !!
Lakini mwisho katika haya ,Mh Polepole anasema "Rais yeye hajiulizi? Makamo wa Urais haendelei, Waziri Mkuu naye haendelei, Sasa kwann Kuna Exception Kwa RAIS?.
View: https://youtu.be/7AEiEnm_Y04?si=M2dL_CywilCBQ7Lc
πππsureTuko wengi kabisa. Kama hayatuhusu vile kumbe ni vile hatujui nini tufanye anyway π
unaposema watanzania wote hatumtaki una hakika na hili? Tlaatlaah, funaku, ChoiceVariable na Lucas Mwashambwa na nyie mmemkataa mwenyekiti wenu?Kwa kweli Samia alitakiwa kujiuzulu.Maana hakuna mtanzania mwenye akili timamu anayemtaka.Watanzania wote hatumtaki Kwa sababu Hana uwezo wa kuongoza Nchi yetu