Mkuu sasa kama wewe unajua unadhani kila mtanzania atakuwa anaelewa? Sasa ni kwanini usiweke hadharani Ili na kutusaidia sie mbumbumbu mkuu. Weka hadharani nini kilimkuta mzee wetu MoangoILA KUHUSU makamu,huwa najiuliza, kipindi kile kalazwa akiwa waziri enzi za jiwe, MPAKA WATU kumkatia tamaa, kwani WATZ hamkuwa na TAARIFA? MBONA inshu ilikuwa wazi sana. Mi sikutegemea kama atapona hata SASA NAHISI BADO hajawa SAWA.
Hivo kuacha siasa SIONI tatizo. Mitihani aliyo pitia mzee wetu huyu ,Yuko sawa kupumzika, kungekua na shida angejiudhuru moja kwa moja bila kusubiri muda UISHE NDO huwa Iko hivo mkuu tusichonganishe.
No mkuu MBONA Hilo JAMBO lilikua wazi sana MPAKA bungeni lilizungumzwa na magufuli mwenyewe alizungumza. LABDA kama SI mfatiliaji WA bunge mkuu.Mkuu sasa kama wewe unajua unadhani kila mtanzania atakuwa anaelewa? Sasa ni kwanini usiweke hadharani Ili na kutusaidia sie mbumbumbu mkuu. Weka hadharani nini kilimkuta mzee wetu Moango
Mpango aliugua Corona sasa mbona unataka kuiweka kama vile ilikuwa ni kitu cha ajabu?ALIKUA waziri WA FEDHA kipindi hicho, nakumbuka SANA, inasemekana alikuwa ANATUMIA mitungi kupumua. Mkuu unaishi nchi GANI? au umesahau TU mkuu?
Kwishaaaa
Mkuu HAPO SIJUI nacho fahamu Mimi ALIKUA ANAUMWAMpango aliugua Corona sasa mbona unataka kuiweka kama vile ilikuwa ni kitu cha ajabu?
Uzuri ni kuwa njaa anaombewa hasimu,hivyo maombi ya ongezeke maradufu,ili mnyukano uzidi mara 1000 ya vile hali ilivyo hivi sasa.CCM endeleeni hivi kunyukana mpaka kieleweke.
Ila amefanikiwa kuwachomoa wahuni wa mapangoni na wameibukia nchi kavu tena juu ya miamba yenye joto kali la jua la saa sita mchana wa kiangazi.Polepole hana moral authority ya kukosoa chochote kwa sasa. Hoja zake nyingi ni nyepesi kama sufi.
Amekaba penaltLakini mwisho katika haya ,Mh Polepole anasema "Rais yeye hajiulizi? Makamo wa Urais haendelei, Waziri Mkuu naye haendelei, Sasa kwann Kuna Exception Kwa RAIS?.
Naomba niulize swali,hivi mchezaji asiye na uwezo wa kusikia pindi akisakata kabumbu,anawezaje kusikia sauti ile ya kukaanga chips na kuenjoy kama mashabiki na wachezaji timamuu?Amekaba penalt
Kama utakumbuka kwamba Mipango na Majaaliwa wote hapo baada ya Magufuli kufariki walikuwemo katika mpago wa kumpinduwa mama , Kwahiyo mama alipoapishwa kuwa Raisi akashauriwa hao Jamaa awache tu kama walivyo ili isije ikaleta mpasuko Kwa wakati ule, kwavile makamo wa raisi hana kazi kubwa na muhimu kitaifa yupo tu kumuwakilisha raisi na Waziri mkuu ndio mtendaji mkuu wa Serikali mama akiona njia pekee ya kumdhibiti Majaaliwa Ni kumuwekea naibu Waziri mkuu ( Biteko) , majukumu yote ya utendaji alikabidhiwa Biteko , Majaaliwa akawa hana nguvu yoyote, pia mama hapo alimteuwa Biteko kwa malengo yake ya kuwavuruga Sukuma gang .Naomba niulize swali,hivi mchezaji asiye na uwezo wa kusikia pindi akisakata kabumbu,anawezaje kusikia sauti ile ya kukaanga chips na kuenjoy kama mashabiki na wachezaji timamuu?