Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Akajiuze huko wazungu, binadamu mpumbavu kutokea, unaachal ubalozi kuja kubwabwaja uchafu mitandaoni?Kwa siku za hivi karibuni tumeona polepole anafanya press Kama zile za mange kimambi kwa lengo la kupata kiki bila kuelewa kuwa Watanzania walishaashana na upotoshaji wa Mange kimambi zamani sana.
Tanzania si sehemu ya kupotosha au kupiga UMBEA kwa habari zisizo na ushahidi, watu wameshaelemika watu wanajua Nini kinaendelea, watu wanajua kuwa polepole anasumbuliwa na chuki na uchu wa madaraka kitu ambacho haji kukipata katika maisha yake.