Polepole anacopy na kupaste mbinu za Mange Kimambi, muda si mrefu ataanzisha App ya kulipia

Kwa siku za hivi karibuni tumeona polepole anafanya press Kama zile za mange kimambi kwa lengo la kupata kiki bila kuelewa kuwa Watanzania walishaashana na upotoshaji wa Mange kimambi zamani sana.

Tanzania si sehemu ya kupotosha au kupiga UMBEA kwa habari zisizo na ushahidi, watu wameshaelemika watu wanajua Nini kinaendelea, watu wanajua kuwa polepole anasumbuliwa na chuki na uchu wa madaraka kitu ambacho haji kukipata katika maisha yake.
Hicho unachojua wewe sisi tunajua vingine. Usitusemee. Ngoja Polepole aendelee kuivua nguo CCM
 
Watu wanaishi na kupumua umbea
Yaani mtu anaomba bando ili saa 2 isimpite daa
 
Kwa siku za hivi karibuni tumeona polepole anafanya press Kama zile za mange kimambi kwa lengo la kupata kiki bila kuelewa kuwa Watanzania walishaashana na upotoshaji wa Mange kimambi zamani sana.

Tanzania si sehemu ya kupotosha au kupiga UMBEA kwa habari zisizo na ushahidi, watu wameshaelemika watu wanajua Nini kinaendelea, watu wanajua kuwa polepole anasumbuliwa na chuki na uchu wa madaraka kitu ambacho haji kukipata katika maisha yake.
Pumbavu mkubwa wee, hivi MTU anaacha Ubalozi na stahiki zake na Heshima zake zote , kuanzisha App?

Hivi Hilo Bichwa lako lina madudu gan??.
 
Attachments

  • Screenshot_20250821-122948.png
    Screenshot_20250821-122948.png
    217.4 KB · Views: 20
Kwa siku za hivi karibuni tumeona polepole anafanya press Kama zile za mange kimambi kwa lengo la kupata kiki bila kuelewa kuwa Watanzania walishaashana na upotoshaji wa Mange kimambi zamani sana.

Tanzania si sehemu ya kupotosha au kupiga UMBEA kwa habari zisizo na ushahidi, watu wameshaelemika watu wanajua Nini kinaendelea, watu wanajua kuwa polepole anasumbuliwa na chuki na uchu wa madaraka kitu ambacho haji kukipata katika maisha yake.

Bila shaka utakuwa ni vile vijuaji vijuaji vya kwetu
 
Back
Top Bottom