kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,173
- 11,625
Kwanza hilo jina peke yake nuksi.POLEPOLE anakukera kwa kipengere gani??
We mzazi unakosa majina yote mazuri unamuita mwanao polepole!!
Huyu jamaa wakati yuko CCM ulisikia alivyokuwa anatukana wapinzani?
Leo kibao kimegeuka kaamua kujiita fasta fasta.