Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Akajiuze huko wazungu, binadamu mpumbavu kutokea, unaachal ubalozi kuja kubwabwaja uchafu mitandaoni?Kwa siku za hivi karibuni tumeona polepole anafanya press Kama zile za mange kimambi kwa lengo la kupata kiki bila kuelewa kuwa Watanzania walishaashana na upotoshaji wa Mange kimambi zamani sana.
Tanzania si sehemu ya kupotosha au kupiga UMBEA kwa habari zisizo na ushahidi, watu wameshaelemika watu wanajua Nini kinaendelea, watu wanajua kuwa polepole anasumbuliwa na chuki na uchu wa madaraka kitu ambacho haji kukipata katika maisha yake.
Nendeni tu wala hakuna shidaWana CCM tunasema OCTOBER TUNATIKI
We itakua haupo sawa kichwani yaani polepole awe na njaaNjaa
Kakuwasha ndo maana na wewe unabwabwaja uharo hapaAkajiuze huko wazungu, binadamu mpumbavu kutokea, unaachal ubalozi kuja kubwabwaja uchafu mitandaoni?
Acha usenge, 98% utafiti umefanyia wapi na kwa njia ganiand thats the point, >98% ya watanzagiza wamechakaa na kuchoka sana muangalie Tundu Lisu pia vivyo hivyo anaonekana amechakaa na kuchoka sana pia, na ndiyo maana tunafight back ...
Hiyo ndo namna ya kureact kwa hoja zake? Kweli CCM ubongo hauhitajikiAnaonyesha kudhoofika sana
Nje ya madaNi kweli watanzania wa leo wameelimika, na ndo maana wamechoka na propaganda mfu za CCM
We una nini kwenye bichwa lako bapa km la polepole? Kinyesi tu umejazaHiyo ndo namna ya kureact kwa hoja zake? Kweli CCM ubongo hauhitajiki
Tafito za humu si unaona hata wewe unavyotukana hivyo inaonesha unaumasikini na njaa Kali sanaAcha usenge, 98% utafiti umefanyia wapi na kwa njia gani
ChaiKwa siku za hivi karibuni tumeona polepole anafanya press Kama zile za mange kimambi kwa lengo la kupata kiki bila kuelewa kuwa Watanzania walishaashana na upotoshaji wa Mange kimambi zamani sana.
Tanzania si sehemu ya kupotosha au kupiga UMBEA kwa habari zisizo na ushahidi, watu wameshaelemika watu wanajua Nini kinaendelea, watu wanajua kuwa polepole anasumbuliwa na chuki na uchu wa madaraka kitu ambacho haji kukipata katika maisha yake.
Ndani ya madaNje ya mada
ok, alitaka ku ku ku panua wigo ikashindikana nini??!!Anaonyesha kudhoofika sana
Watanzania tuna sumbuliwa na matatizo makuu 5.Kwa siku za hivi karibuni tumeona polepole anafanya press Kama zile za mange kimambi kwa lengo la kupata kiki bila kuelewa kuwa Watanzania walishaashana na upotoshaji wa Mange kimambi zamani sana.
Tanzania si sehemu ya kupotosha au kupiga UMBEA kwa habari zisizo na ushahidi, watu wameshaelemika watu wanajua Nini kinaendelea, watu wanajua kuwa polepole anasumbuliwa na chuki na uchu wa madaraka kitu ambacho haji kukipata katika maisha yake.
Mara yako ya mwisho kutumia ubongo ilikua lini vile?We una nini kwenye bichwa lako bapa km la polepole? Kinyesi tu umejaza
ujinga wa huyo polepole kila mtu akisimama kumtetea samia yeye anakuja na uongo kumsema,sasa hii inamuondolea hadhiKwa siku za hivi karibuni tumeona polepole anafanya press Kama zile za mange kimambi kwa lengo la kupata kiki bila kuelewa kuwa Watanzania walishaashana na upotoshaji wa Mange kimambi zamani sana.