Hicho unachojua wewe sisi tunajua vingine. Usitusemee. Ngoja Polepole aendelee kuivua nguo CCMKwa siku za hivi karibuni tumeona polepole anafanya press Kama zile za mange kimambi kwa lengo la kupata kiki bila kuelewa kuwa Watanzania walishaashana na upotoshaji wa Mange kimambi zamani sana.
Tanzania si sehemu ya kupotosha au kupiga UMBEA kwa habari zisizo na ushahidi, watu wameshaelemika watu wanajua Nini kinaendelea, watu wanajua kuwa polepole anasumbuliwa na chuki na uchu wa madaraka kitu ambacho haji kukipata katika maisha yake.
Onyesha uongo wake halafu wewe onyesha ukweli.ujinga wa huyo polepole kila mtu akisimama kumtetea samia yeye anakuja na uongo kumsema,sasa hii inamuondolea hadhi
Muongo wewe!Anaonyesha kudhoofika sana
Ni mmoja waoNan polepole siyo
Naomba unitafutie kazi ya uchawa tafadhariNjaa
Sema unataka ku edit nini nitakuelekezaHivi tittle tuna edit kivipi wakuu
Pumbavu mkubwa wee, hivi MTU anaacha Ubalozi na stahiki zake na Heshima zake zote , kuanzisha App?Kwa siku za hivi karibuni tumeona polepole anafanya press Kama zile za mange kimambi kwa lengo la kupata kiki bila kuelewa kuwa Watanzania walishaashana na upotoshaji wa Mange kimambi zamani sana.
Tanzania si sehemu ya kupotosha au kupiga UMBEA kwa habari zisizo na ushahidi, watu wameshaelemika watu wanajua Nini kinaendelea, watu wanajua kuwa polepole anasumbuliwa na chuki na uchu wa madaraka kitu ambacho haji kukipata katika maisha yake.
JINGA wwAlitapeliwa
Ukikiri wewe sio chawa wa saa mia moja nitakusaidia ku editHii title mkuu naomba msaada wako isomeke "CCM imejipanga"
Msamehe bure. Uwezo wa kufikiria mdogo. Ukiwa chawa wa fisiemi ni lazima ujitoe akili na uelewa uwe mdogo.Mtu aachie nafasi ya ubalozi na privilege zake zote aje kuwa influencer mtandaoni, are you serious?!!!
Kwa siku za hivi karibuni tumeona polepole anafanya press Kama zile za mange kimambi kwa lengo la kupata kiki bila kuelewa kuwa Watanzania walishaashana na upotoshaji wa Mange kimambi zamani sana.