kahtaan JF-Expert Member Joined Jul 11, 2009 Posts 19,173 Reaction score 11,625 Dec 8, 2025 #61 DR VRM said: POLEPOLE anakukera kwa kipengere gani?? Click to expand... Kwanza hilo jina peke yake nuksi. We mzazi unakosa majina yote mazuri unamuita mwanao polepole!! Huyu jamaa wakati yuko CCM ulisikia alivyokuwa anatukana wapinzani? Leo kibao kimegeuka kaamua kujiita fasta fasta.
DR VRM said: POLEPOLE anakukera kwa kipengere gani?? Click to expand... Kwanza hilo jina peke yake nuksi. We mzazi unakosa majina yote mazuri unamuita mwanao polepole!! Huyu jamaa wakati yuko CCM ulisikia alivyokuwa anatukana wapinzani? Leo kibao kimegeuka kaamua kujiita fasta fasta.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jan 3, 2026 #62 Propaganda... Cc: Mahondaw