Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakuu!
Humphrey Polepole ametangaza kusogeza mbele mkutano wake na waandishi wa habari uliokuwa umepangwa kufanyika Julai 17 hadi Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi, ili kupisha uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050.
Soma> Polepole kuzungumza na Vyombo vya Habari Julai 17, 2025
Mkutano huo unatarajiwa kutoa ufafanuzi kuhusu barua yake ya kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba.