Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Nipo MkuuBrother upo?
Nipo MkuuBrother upo?
Sawa sawa, tunasubiri kwa hamu.Wakuu!
Humphrey Polepole ametangaza kusogeza mbele mkutano wake na waandishi wa habari uliokuwa umepangwa kufanyika Julai 17 hadi Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi, ili kupisha uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050.
Soma> Polepole kuzungumza na Vyombo vya Habari Julai 17, 2025
Mkutano huo unatarajiwa kutoa ufafanuzi kuhusu barua yake ya kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba.
View attachment 3408371
Huyu kawawahiSasa waendelee kumpooza hivyo hivyo kapigwa stop leo asiongee na kesho atapigwa stop utasikia rais anahutubia taifa lazima atakaa chonjo kesho kutwa akitaka tena kuongea utasikia rais anazindua Pembejeo za kilimo, Babu wewe ongea tu usimsubiri rais na halafu usije ukaongea tusichotaka kukisikia maana watu tumeandaa masikio halafu unakuja kutuambia ujinga unatujua sisi tutakupiga mawe usije ukaanza kutuongelea mapambia ya kiduwanzi tutakupiga mawe mchane km ulivyomchana kwenye barua sasa wanakupooza ili uje na mapambio tutakupiga mawe
Huyu jamaa fala sana
Mimi ni mtanzania,naipenda Tanzania,ila kwa sasa natamani pia Tanganyika.
Nitaungana na mtu yoyote mwenye kuitamani Tanganyika kwa sasa.
Ukiwa mtulivu na ukaacha kusikiliza propaganda, naamini utazijua bivu na mbichi then tutaamua cha kufuata.
Mh Rais,Mh Polepole,Mh Gwajima,Mh,Mh,n.k nchi kwanza mengine baadae.
Asante kwa taarifa. Hii inaonesha Polepole anajaribu kujipanga katika kalenda ya matukio ya kitaifa kwa kuonyesha heshima kwa shughuli muhimu kama uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050.Wakuu!
Humphrey Polepole ametangaza kusogeza mbele mkutano wake na waandishi wa habari uliokuwa umepangwa kufanyika Julai 17 hadi Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi, ili kupisha uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050.
Soma> Polepole kuzungumza na Vyombo vya Habari Julai 17, 2025
Mkutano huo unatarajiwa kutoa ufafanuzi kuhusu barua yake ya kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba.
View attachment 3408371
Hana cha kusema zaidi ya kutubu, ukiona suala linapigwa calendar nyingi mara kesho mara kesho kutwa yaan yeye ile sumu aliyotaka kuitema leo angeitema leo leo anapoisubirisha inazidi kupoa mwisho inakua sio sumu tena ni ChaiAwe makini press yake isilete shida kwenye nchi yetu
Kama anaona inamzingua ye abaki huko huko Cuba na ulaya hapa atuachie sisi
Wakuu!
Humphrey Polepole ametangaza kusogeza mbele mkutano wake na waandishi wa habari uliokuwa umepangwa kufanyika Julai 17 hadi Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi, ili kupisha uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050.
Soma> Polepole kuzungumza na Vyombo vya Habari Julai 17, 2025
Mkutano huo unatarajiwa kutoa ufafanuzi kuhusu barua yake ya kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba.
View attachment 3408371
KAMA POLEPOLE ANATAKA KUTUBU WATANZANIA WOTE WATAMUELEWA,LKN KAMA SIO HILO NI UPUUZI TU WA AINA NYINGINE,KAMA NI MFUMO wa utekaji Polepole ni muasisi,kama ni kupoteza watu Polepole ni muasisi,kama ni kunyima watu haki zao Polepole ni mm muasisi,kama ni wizi wa kura Polepole ni muasisi,na hawa waliopo CCM wanaendeleza kilichoandaliwa na Hamphrey Polepole sasa anataka kutubu,Ngoja tumsubiri tuone anataka kusema nini.Wakuu!
Humphrey Polepole ametangaza kusogeza mbele mkutano wake na waandishi wa habari uliokuwa umepangwa kufanyika Julai 17 hadi Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi, ili kupisha uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050.
Soma> Polepole kuzungumza na Vyombo vya Habari Julai 17, 2025
Mkutano huo unatarajiwa kutoa ufafanuzi kuhusu barua yake ya kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba.
View attachment 3408371
🖕🏿Wewe ibilisi yanakuhusu nini haya?
Awe na msimamokwa nini mkuu?
Hana jipya ni mbinafsi tuWakuu!
Humphrey Polepole ametangaza kusogeza mbele mkutano wake na waandishi wa habari uliokuwa umepangwa kufanyika Julai 17 hadi Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi, ili kupisha uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050.
Soma> Polepole kuzungumza na Vyombo vya Habari Julai 17, 2025
Mkutano huo unatarajiwa kutoa ufafanuzi kuhusu barua yake ya kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba.
Ajitokeze hadharani tumuone tumsalimie.Amesema yupo jmn🤣Hana mpango wa kwenda popote mpk Yesu arudi
ila kuna watu wanajua kutesa wenzao moyo, hapo sasa kwenye hotuba ya mama itabidi waedit, manake anasubiriwa kile atakachoongea ajibiwe kwa ubora zaidi.Anataka kujua kwanza mama atanangwa ili ajipange zaidi
Hana sumu zaidi ya shibe na jazba alikuwa chini ya magu na shida nchini zilikuwa lukuki hakujiondoa wala kususa Leo avunge ana uchungu!Hana cha kusema zaidi ya kutubu, ukiona suala linapigwa calendar nyingi mara kesho mara kesho kutwa yaan yeye ile sumu aliyotaka kuitema leo angeitema leo leo anapoisubirisha inazidi kupoa mwisho inakua sio sumu tena ni Chai
Alitakiwa aongee leo leo yaan leo leo sio kupigapiga konakona mara kesho mara kesho kutwa leo alibidi abutue kombolelaHana sumu zaidi ya shibe na jazba alikuwa chini ya magu na shida nchini zilikuwa lukuki hakujiondoa wala kususa Leo avunge ana uchungu!