Polepole asogeza mbele Mkutano na Vyombo vya Habari hadi Julai 18, 2025

Polepole asogeza mbele Mkutano na Vyombo vya Habari hadi Julai 18, 2025

Wakuu!

Humphrey Polepole ametangaza kusogeza mbele mkutano wake na waandishi wa habari uliokuwa umepangwa kufanyika Julai 17 hadi Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi, ili kupisha uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050.

Soma> Polepole kuzungumza na Vyombo vya Habari Julai 17, 2025

Mkutano huo unatarajiwa kutoa ufafanuzi kuhusu barua yake ya kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba.

View attachment 3408371

View: https://www.facebook.com/share/v/16utxyiduj/
 
Mkutano huo unatarajiwa kutoa ufafanuzi kuhusu barua yake ya kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba.
Sasa waendelee kumpooza hivyo hivyo kapigwa stop leo asiongee na kesho atapigwa stop utasikia rais anahutubia taifa lazima atakaa chonjo kesho kutwa akitaka tena kuongea utasikia rais anazindua Pembejeo za kilimo, Babu wewe ongea tu usimsubiri rais na halafu usije ukaongea tusichotaka kukisikia maana watu tumeandaa masikio halafu unakuja kutuambia ujinga unatujua sisi tutakupiga mawe usije ukaanza kutuongelea mapambia ya kiduwanzi tutakupiga mawe mchane km ulivyomchana kwenye barua sasa wanakupooza ili uje na mapambio tutakupiga mawe
 
Back
Top Bottom