Polepole asogeza mbele Mkutano na Vyombo vya Habari hadi Julai 18, 2025

Huyu kawawahi

https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/16utxyiduj/
 
Mimi ni mtanzania,naipenda Tanzania,ila kwa sasa natamani pia Tanganyika.
Nitaungana na mtu yoyote mwenye kuitamani Tanganyika kwa sasa.
Ukiwa mtulivu na ukaacha kusikiliza propaganda, naamini utazijua bivu na mbichi then tutaamua cha kufuata.
Mh Rais,Mh Polepole,Mh Gwajima,Mh,Mh,n.k nchi kwanza mengine baadae.
 
 
Asante kwa taarifa. Hii inaonesha Polepole anajaribu kujipanga katika kalenda ya matukio ya kitaifa kwa kuonyesha heshima kwa shughuli muhimu kama uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050.

Kusogeza mbele mkutano wake kunaweza pia kuwa na maana ya kuongeza uzito wa kile atakachokisema Ijumaa, au anatafuta muda zaidi wa kujiandaa. Itafurahisha kuona kama ataendelea kusimamia misimamo ya haki, demokrasia na utawala bora kama anavyodai sasa.
 
Awe makini press yake isilete shida kwenye nchi yetu
Kama anaona inamzingua ye abaki huko huko Cuba na ulaya hapa atuachie sisi
Hana cha kusema zaidi ya kutubu, ukiona suala linapigwa calendar nyingi mara kesho mara kesho kutwa yaan yeye ile sumu aliyotaka kuitema leo angeitema leo leo anapoisubirisha inazidi kupoa mwisho inakua sio sumu tena ni Chai
 
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/16utxyiduj/
 
KAMA POLEPOLE ANATAKA KUTUBU WATANZANIA WOTE WATAMUELEWA,LKN KAMA SIO HILO NI UPUUZI TU WA AINA NYINGINE,KAMA NI MFUMO wa utekaji Polepole ni muasisi,kama ni kupoteza watu Polepole ni muasisi,kama ni kunyima watu haki zao Polepole ni mm muasisi,kama ni wizi wa kura Polepole ni muasisi,na hawa waliopo CCM wanaendeleza kilichoandaliwa na Hamphrey Polepole sasa anataka kutubu,Ngoja tumsubiri tuone anataka kusema nini.
 
Anataka kujua kwanza mama atanangwa ili ajipange zaidi
ila kuna watu wanajua kutesa wenzao moyo, hapo sasa kwenye hotuba ya mama itabidi waedit, manake anasubiriwa kile atakachoongea ajibiwe kwa ubora zaidi.
 
Hana cha kusema zaidi ya kutubu, ukiona suala linapigwa calendar nyingi mara kesho mara kesho kutwa yaan yeye ile sumu aliyotaka kuitema leo angeitema leo leo anapoisubirisha inazidi kupoa mwisho inakua sio sumu tena ni Chai
Hana sumu zaidi ya shibe na jazba alikuwa chini ya magu na shida nchini zilikuwa lukuki hakujiondoa wala kususa Leo avunge ana uchungu!
 
Hana sumu zaidi ya shibe na jazba alikuwa chini ya magu na shida nchini zilikuwa lukuki hakujiondoa wala kususa Leo avunge ana uchungu!
Alitakiwa aongee leo leo yaan leo leo sio kupigapiga konakona mara kesho mara kesho kutwa leo alibidi abutue kombolela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…