#COVID19 Polepole ataka kiwanda cha dawa za mimea kupambana na Corona, aomba kikafichwe Jeshini


Unawezaje kumlaani binadamu kiasi hiki kama huna matatizo kichwani?
 
Yaliyopita yamepita, kama alikosea awali kimya kimya, tukaona matokeo ya makosa yake, na sasa kimya kimya amerejea kwenye mstari wake wa awali na kwa macho tunaona, kwa nini tumhukumu mtu aliyeamua kuwa upande wa binadamu? Tuangalieni namna anavyotufaa sasa na baadaye.

Ni mmoja kati ya watu wachache wanaoweza kumsaidia H.E, kutetea maslahi ya nchi. Tuache mizaha ama visasi vya kutuumiza. Kumbuka uharibifu hauna mizaha, na anaji penyeza kwa kasi, ili kuhakikisha uhuru wetu hata kwa masuala tunayoyaweza unapotea completely. Hii ni vita, vita ni mikakati kwa majira yake.
 
Mheshimiwa pole pole amenena yaliyokuwa moyoni mwangu. Watanzania tumfuate huyu ndugu. Anatuelekeza mahala sahihi. Natamani aingie kwenye baraza la mawaziri. Huyu ni mzalendo.

Mara nyingi "wazalendo" dizaini ya Polepole hufaga kwa kukosa maarifa!
 
Hembu tujaribu kuangalia haya maswala kwa picha kubwa zaidi, mtu kwenda kwenye media.na kuanza kutoa maneno mazuri ya mashiko mara moja au mbili yasi badili mawazo yetu huyu jamaa alitoka wapi?...
Kwaiyo hayo yote kisa tu kashauri kijengwe kiwanda ambacho kitadili na masuala ya utafiti wa dawa za asili ili kujitegemea kwenye masuala ya tiba na kinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi mna uhakika huyu ana akili yimamu kweli ana hana fie mirembe?
watu wa meko hawa inabidi wanyongwe kabisa ni sumu kubwa sana hii.
 
Polepole Corona is not a local problem, wake up, it's a global problem, and therefore it must be solved globally.
Acha ujinga wa kutokufikilia nje ya box. Global ni nani? Tukitengeneza dawa, haitakwenda kwenye global market? Fikra tegemezi.
 
Unaweza kuficha kiwanda mbali mabeberu washindwe kufika!!
Iran wana kiwanda cha nuclear wamekificha lakini mabeberu wanafahamu.
Huyu Polepole mweupe sana, bora aendelee kukaa kimya siku iingie
Ww ndiyo shallow understander. Amekuambia kwamba wasifahamu? Amesema tutahujumiwa. Ni suala la usalama kwamba ninyi madalali wa chanjo, msije mkahujumu juhudi zetu kwa hizo commission zenu!. Tamaa zenu na ubinafsi, msizitumie kumtukana Polepole.
 
Corona ni local problem?anajua hata kwanini inaitwa corona virus"pandemic''.

Ndio maana nchi ilikuwa inaelekea shimoni kwa ushauri wa watu kama hawa
 
Kabla hajauliwa, atakuwa ameokoa sana taifa. Na yamkini wauaji wakatangulia, kabla yake. who knows? Ujue kila mtu atakufa.
Wazalendo wenye maarifa hudumu. Wasio na maarifa hufa. Siyo mimi ninayesema hivyo, ni maandiko ndiyo yanasema hivyo!
 
Serikali tuleeni chanjo, sisi tunaotaka tuchanje asiyetaka aache, Naona Zanzibar wako smart na Mama usisikilize ya Polepole, nenda kachanje.
Ukitaka kuijua corona we Polepole muulize Mpango - halafu umwambie si angetumia miti shamba!
 
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani ya CCM...

Angeenda kukificha kiwanda hicho nyumbani kwake kwa usalama zaidi.
 
Hivi kama Rais anaweza kutengua uteuzi wa wateule wa rais aliyetagulia, hawezi kutengua uteuzi wa wabunge kama huyu Polepole (ili aweke watakaomsaidia)?
 
Kabla hajauliwa, atakuwa ameokoa sana taifa. Na yamkini wauaji wakatangulia, kabla yake. who knows? Ujue kila mtu atakufa.

Ukweli mchungu huu uko dhidi yake:


Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Serikali tuleeni chanjo, sisi tunaotaka tuchanje asiyetaka aache
Hata Bibi Samia mwenyewe hawezi kamwe kudungwa hayo machanjo yenye sumu.

Walinzi wake na security detail nzima haiwezi kukubali Rais adungwe hayo machanjo abadani.

Watakaodungwa ni nyinyi nyumbu mnaolaghaiwa na kudanganyika kutokana na elimu duni mlizonazo.

Wenzenu wanakula mapesa ya udalali, halafu chanjo zenye sumu mnadungwa nyie.

Kesho Rais anatoka hadharani anawazuga anadungwa chanjo, kumbe bomba la sindano wamejaza glucose. Hahahaa....

Wajinga ndio waliwao.

Mtadungwa masumu mpaka muitike abeee!
 
sidhani kama huyu mtu ni mzima kichwani.
Katika maisha ya mwanadamu ukishaitwa mwizi hilo jina halitafutika milele hata kama utaenda kutubu na kuacha wizi hilo jina halitafutika,chuki,roho mbaya na kutopendana katika maisha yetu ndo kinachotawala na sijui kama hivi vyote vinasaidia au vinafaida,uzima wa mtu kichwani anaujua Mungu na si mwanadamu.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha 😂😂. Mkuu umenifurahisha hapo kwenye maboga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…