Polepole azungumza na waandishi wa habari akiwa na ulinzi wa wasaidizi wake wote wanawake

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole anazungumza na waandishi wa habari muda huu akiwa ameambatana na wasaidizi wake ambao wote ni wanawake.

Taarifa kamili inakuja.
 
Uko na maphoto au video tuone???
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole anazungumza na waandishi wa habari muda huu akiwa ameambatana na wasaidizi wake ambao wote ni wanawake.

Taarifa kamili inakuja.
Bila picha mkuu?

Kama vipi tupia ka-video
 
Katoka mafichoni siyo......eeeee mzee wa Vieiteee!!
 
Ingetosha tu kusema wasaidizi wake. Usiwe kama boflo
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole anazungumza na waandishi wa habari muda huu akiwa ameambatana na wasaidizi wake ambao wote ni wanawake.

Taarifa kamili inakuja.

Alhamisi 29 Aprili 2021
Dodoma Tanzania

KATIBU Mwenezi wa chama cha Mapinduzi (CCM) leo Aprili 29, amezungumza na wanahabari kuelekea mkutano mkuu wa CCM utakaofanyika kesho Aprili 30, jijini Dodoma..
 
Back
Top Bottom