Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bulembo aliuza Shule ya Jumuia Magufuli akairudisha Mzee asifikiri Machafu yake hayajulikaniKupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli.
"...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
Sasa hamtaki kuukubali ukweli hapo mtaa wa kijani au ndio wale kukosolewa ni kutukanwa japomnahimiza kukosoana ruksa ila kwa staha, ola nawaza staha inakujaje bila kuwepo uungwangana na kuvumiliana, na kusikolizana bila kuoneana, kunyanyasana na kudharauliana?Mr. Slow bado tu upo timu viroboto, wenzio ni wenye nyumba🤔.
Mtu aende barabarani kujiuza mwili wake halafu akitokea mnunuaji na wakaafikiana bei alaumiwe mnunuaji? Kama na lawama mlaumu aliyeamua kujiuza, mbona wengine walikataa kujiuza na wakadumu mpaka mwisho.Kama upinzani mna nunulika basi nyie ni bidhaa za kuoza tu kama nyanya, hamfai hata hata bule.
Haji anajitoa akili lakini inaeleweka sababu ni pesa ya GSM.Polepole alianza kuwa Msemaji wa Chama kabla ya kuwa Mwanachama …kama ilivyotokea kwa Haji Manara na Yanga halafi Haji akajikuta anajifanya Yanga kuliko kina Mzee Mpili
DuhHawa fisi wakiumana mimi nafarijika sana natamani wauane kabisaView attachment 2045048View attachment 2045049
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Wanaelewana kinafiki na kimaslahi zaidi, na si vinginevyo!Huwa nashangaa baadhi ya watu wana dhani hawa waheshimiwa hawaelewani kweli
Kuna nini hiyo sikuJumamosi ndio msema kweli ( 18/12/2021)
[emoji38][emoji38][emoji38]Aisee niko Team Kiroboto
Hajawahi kuwa mjamaa anaigiza ujamaa kama wasanii wa kikundi cha Kibisa.Team Wahuni wanaipata habari yao kwa speed ya 5G. kutoka kwa ndugu Mjamaa a.k.a. Ndugu Kiroboto. Mpaka sasa Kiroboto 3. Wahuni 0.
Sio kweli. Mbona mikutano ya siasa ilifutwa kianzia mwaka 2015, na minyukano haikuwapo. Minyukano imeanza baada ya Magufuri Kufariki.Ccm wana akili sana wameua mikutano ya vyama vya siasa ili waanzishe minyukano yao na sisi tunashabikia!!!
CHADEMA haipokei ruzuku. Usipotoshe umma.chadema walishakufa zamani imebaki jina tu na ruzuku
Polepole-Kiroboto the Great, he will die trying, the end is nigh!Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli.
"...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
Malizia muhuni huyoKupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli.
"...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
Hasira za kufurushwa jikoni akikumbuka zama zile za uchawa akitembea na cash za kununua wapinzani anaumiaMr. Slow bado tu upo timu viroboto, wenzio ni wenye nyumba🤔.
Kama mnajua hivyo sasa kwa nini mmtaje polpole peke yake badala ya kuwalaunu walionunuliwa?Mwalimu Nyerere alipata kusema "MTOA RUSHWA NA MPOKEA RUSHWA WOTE NGOMA MOJA"....
#Siempre CCM
HhhhhMalizia muhuni huyo
Chama kibovu huuza watu wake kama nyanya mbovu.Hasira za kufurushwa jikoni akikumbuka zama zile za uchawa akitembea na cash za kununua wapinzani anaumia
Hatariiiiii !! Duh! Dunia inaenda haraka sana !!Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli.
"...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.