Polepole: Bulembo si tu ni mhuni bali pia ni tapeli

Polepole: Bulembo si tu ni mhuni bali pia ni tapeli

Hivi ndg. Polepole amesahau UHUNI wake wa KUWARUBUNI wabunge wa UPINZANI?!!!

Hivi ndg. Polepole amesahau UHUNI wake WA KUWAAHIDI VYEO WAGOMBEA WA UBUNGE VITI MAALUM?!!!

Huyu ndugu yetu kweli ni LOPOLOPO.........
Mtasema yote kudadeki, zambi ya matumizi mabaya ya kodi zetu haitawaacha salama MaCCM.
 
Hivi ndg. Polepole amesahau UHUNI wake wa KUWARUBUNI wabunge wa UPINZANI?!!!

Hivi ndg. Polepole amesahau UHUNI wake WA KUWAAHIDI VYEO WAGOMBEA WA UBUNGE VITI MAALUM?!!!

Huyu ndugu yetu kweli ni LOPOLOPO.........
Unaogopa nini?Weka ushahidi usibwabwaje debe tupu halitiki otherwise ni porojo tu kama porojo zingine. Taja wataje jitaje

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ndg. Polepole amesahau UHUNI wake wa KUWARUBUNI wabunge wa UPINZANI?!!!

Hivi ndg. Polepole amesahau UHUNI wake WA KUWAAHIDI VYEO WAGOMBEA WA UBUNGE VITI MAALUM?!!!

Huyu ndugu yetu kweli ni LOPOLOPO.........
Kama upinzani mna nunulika basi nyie ni bidhaa za kuoza tu kama nyanya, hamfai hata hata bule.
 
Bulembo ndio alikuwa kampeni Manager wa Magufuli mwaka 2015.

Polepole ni kibaka fulani tu hana uwezo wa kudindishiana msuli na Bulembo.

Wanaokijuwa chama vizuri ni lazima uwe upande wa mwenyekiti ndio unakuwa salama na kula mema ya nchi, Kiroboto bado haamini kama Magufuli amekufa na harudi tena kamwe, akubali kuishi kama mtoto yatima kama wenzake walivyokubali wakati wa ufalme wao na mungu wao wa Chato.

Kiroboto atueleze leo sababu za Membe kufutwa uanachama ni zipi?
Swala hapa si nani anakijua chama au hakijui. Swala ni uadilifu. Na kukijua chama ni kujua katiba ya chama, Miongozo na sheria, pia na kanuni mbalimbali. Huku ndo kikujua chama. Si kujua chama kimadili huu ni upuuzi wa hali ya juu. Bulembo alilalamikiwa kwa kuhujuma mali za chama hasa katika Jumuhiya ya Wazazi alikokuwa Mwenyekiti hiko wazi. Asije kutuletea kuwa Kiroboto hajui chama.
Unapoingia sehemu yoyote utawakuta wazee watakupa a,b, na c. Pia utasoma mafaili. Sasa kipi ambacho Kiroboto hakijui.
Wajibu hoja zake si kumshambulia bila hoja wamempa mtihani wakaona hakijui chama.
Kwanza watanzania wengi walosoma kabla ya 1992. Wanakijua vizuri chama cha CCM. Make kilifundishwa kuanzia msingi hadi chuo. Kilikuwa na matawi mashuleni hivyo viongozi walikuwepo katika matawi. Si kwamba ukiwa na cheo cha juu wewe basi wapo wanachama huku chini wanaijua CCM zaidi hata ya yeye huyo Bulembo.
 
IMG_2929.jpg
 
Eeeeh ni jambo la wakati tu,, muda utaongea...

Nabii Lissu alisema "wakimalizana na sisi,, watakuja na kwenu"
 
Kama upinzani mna nunulika basi nyie ni bidhaa za kuoza tu kama nyanya, hamfai hata hata bule.
Mwalimu Nyerere alipata kusema "MTOA RUSHWA NA MPOKEA RUSHWA WOTE NGOMA MOJA"....

#Siempre CCM
 
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli.

"...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
Matapeli waliokuwa wamemzunguka tapeli mwenzao
 
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli.

"...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
Hii ya kuifilisi Jumuiya ya Wazazi ya CCM sijui kama Bulembo anaweza kujitoa. Bado ana tuhuma ya kumkuwadia bintiye kwa Zitto!
 
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika hayo huku akidai hana hata huo muda wa kufanya mdahalo na na tapeli.

"...vilevile aliifilisi Jumuiya yetu moja ndani ya CCM."Ameandika Polepole.
Sarakasi za Bongo movie
 
Bulembo mwizi.Aliiba pesa za taasisi ya wazazi CCM.

Sii tu pesa, hadi majengo walijikabidhi wenyewe karibu yote hadi makao makuu, channel 10.

Ile ripoti ya ukaguzi ya Dr Bashiru iwekwe wazi. Ulitumika ubabe nguvu JPM kuyarudisha CCM.

Mashamba mengi TZ, Bandari ya Dar, zilikuwa kama mali binafsi za watu.
 
Tangu 2020 Chadema haipokei ruzuka ya mnuka matako yeyote

Uko wapi you dont know anything?

Imekufa,then why mnapanua madomo usiku na mchana mnaiongelea?

Kama imekufa why even bother discussing a dead horse?

Chadema is a poetry in motion,the art of brain power!
Nakubaliana na wewe sema inapaswa waangalie misimamo mingine haina hata maana wanapenda kuyakimbia matatizo...nafikiri CDM si ajabu hata wakawa na diplomasia ambayo itakuwa na taabu sana maana wanapenda sana kususa hii inanipa wasi wasi mkubwa otherwise mengine wanajitahidi kwakweli.
 
Back
Top Bottom