GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kumbuka ukiokoka unasema ukweli na kuomba radhi ndicho alichofanya polepole
Lakini lazima useme kile unachoombea radhi sasa nauliza wapi saa8 nani alimpiga lisu risasi kama niyeye aseme wahusika wamigodi kawataja anashindwaje kusema hayo?
 
Mimi nililigundua jambo hili kitambo sana ndio maana sijawahi kupiga kura mara ya mwisho nilipiga kura 2000
 
Mungu wangu kumbe CCM ni vibaka namna hii kweli.
CCM = NIDA = TUME YA UCHAGUZI.
Hapa kuna haja ya kufungua kesi mahakama kuu kwa hati ya dharura kudai CCM itolewe katika mifumo ya NIDA na Tume ya uchaguzi.

Lissu na CDM kumbe mpo sahihi. Asante Polepole tumekusamehe kuwa huru ndugu yetu...aiseee

ACT wazalendo na CHAUMMA kumbe ni ma-kuwadi wa CCM - aisee
 
Polepole anatapatapa. Yeye na genge lake la awamu ya 5 wasidhani kila awamu ina mashetani kama wao waliopora uchaguzi 2020. Atulie tuko awamu ya 6.

IMG_20240428_070927.jpg
 
Hakuna kigeni juu ya CCM kuiba kura, hili lipo miaka nenda rudi hata mtoto ndogo anajua.
Maana Kila mgombea Urais kuanzia 1995 aliiba kura mpaka Shujaa 2015 aliiba kura na HP akiwa mshiriki pia.

Tunachotaka kuona miaka yote ni watanzania kuchukua hatua dhidi ya haki yao yakuchagua na kuchaguliwa dhidi ya CCM na Serikali yake.

Hata CDM walipokuja na NRNE maana yake walikuwa uchaguzi hauko huru na sio wa haki hivyo ili uchaguzi uwe huru na haki reform lazima zifanyike.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Ila 2005 Kikwete alipita halali kabisa. Ndo uchaguzi pekee uliokuwa wa huru na haki.
 

View: https://www.youtube.com/live/QhmqcI-asWc?si=VAYw0M7vJFDx-3-A

Polepole : Viongozi wanakwenda kwenye uchaguzi sababu wanauhakika kushinda uchaguzi sababu kuna mifumo inawabeba

Mfumo unaotumika kuiba uchaguzi kwa sasa ni NIDA, na ndio lengo ambali serikali ya Samia inayotaka kutumia kushinda uchaguzi

sasa hii sio haki kabisa sisi tulitengeneza mfumo kwa nia njema lakini haiwezekana mfumo huu ukawa wa kutumiwa na CCM kushinda uchaguzi kupitia kwa viongozi wasio na ushawishi

Bila NIDA hakuna namna ambavyo SAMIA anaweza baki kama gombea, anakwenda kugombea kutokana na mpango wa wizi ambao umeshaandaliwa kuiba uchaguzi

Na wakibisha nitataja watu mmoja mmoja walioshiriki kutengeneza hii mifumo na kufanyakazi nao

Hii Jeuri ya CCM lazima ifike mwisho, hii nchi haina dhamana kumilikiwa na CCM , kinachotakiwa kwa sasa ni kuhakikisha kuna mfumo wenye uhuru na uchaguzi wa HAKI

Tubomoe mamifumo na bomoa CCM ili tujenge upya kila kitu , lazima CCM ibomolewe sasa na viongozi wote wa Kisiasa wawe uhuru na kila mtu ashiriki uchaguzi kwa haki

Kusiwe na uchaguzi bila kurekebisha haya mambo , hatuwezi kuwa na uchaguzi ambao CCM inafanya mambo inavyotaka hapo makao makuu.

Mzee wa flyover kila mahali pamoja na makandokando yake enzi za jiwe, ila kweny hili nasimama ma mzee wa flyover kila mahali!!!
 
Kuna mada zishawahi kuletwa humu kwamba wanaogawiwa mitungi ya gesi ya ruzuku wanaombwa namba za NIDA tukambishia kwamba hakuna connection kati ya NIDA na uchaguzi!

Sasa naelewa kumbe mifumo ishasomanishwa!
kuna pia mikopo ya kina mama na vijana wameombwa NIDA na wametoa na ni vikundi vingi mno, ila mikopo mpaka sasa hawajapata
 
Na hata hao Chadema nao Wana madhambi yao walituaminisha karibia miaka 8 kuwa Lowassa ni fisadi na wakatuambia Wana ushahidi wa ufisadi wake hawakuishia hapo wakatoa mpaka list ya mafisadi wa nchi wakaiita list of shames hao hao wakajakumpokea Lowassa chamani hawakuishia tu kumpokea pekee wakampa mpaka mgombea wa uraisi je vipi mdau wanapaswa kuaminiwa? Kwa kigezo ulichotumia kwa polepole
Wewe utakuwa bado unaishi dunia ya juzi?
Sasa unataka waTanzania wakawatafute malaika sayari gani?

Napata shida sana kujibu fikra za aina hii ulizoweka hapa. Maana yake wewe ni hao hao mizoga wa Samia na Genge lake waliojazana humu kupindisha kila jambo. Nenda katafute mpuuzi mwingine wa kumweleza upumbavu unaoueleza hapa.
 
Inamaana matakwa yake Polepole yangefanyiwa kazi asingepasua jibu?.
Suala la HP kwangu mimi ni vita ya makundi baada ya kutofautiana maslahi.

Ugomvi wa CCM na wananchi toka 1995 ni wizi wa kura ambao wote tunaujua na tunapambana nao kuhakikisha unakoma, ndio maana tukaja na NRNE, ni vyema harakati za NRNE zikaendelea kuliko kucheza mdundiko wa HP ambaye naye ni mwana familia aliyenyimwa shares na kuamua kuwasaliti wahuni wenzie.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Kuna umuhimu mkubwa sasa hivi kubuni njia za kuwakomesha hawa washenzi wanaochezea akili za waTanzania. NRNE ni muhimu isisitizwe zaidi; lakini pia inabidi kuongeza njia za kuwabana; hasa huko kwenye teknolojia ambako sasa tunajuwa ndiko kwenye mategemeo yao makubwa ya wizi wa kura ili wajitangazie uhalali wa kuwa wamechaguliwa na wananch.i.
Inawezekana kupata njia za kuvuruga utaratibu mzima wa mfumo huo kuelekea kwenye kilele cha uchaguzi au hata siku yenyewe ya uchaguzi?
Wananchi watachangia kivyao kupitia kwenye NORNOE; na huku kwenye mtandao wapatikane wajuzi wa kuharibu mfumo huo.
 
HATIMAYE Mh POLEPOLE ,kavitaka Vyama vya Upinzani , Kutoshiriki uchaguzi Mkuu wowote ule mpaka Pale Vyama hivo vitakapotumia Wataalam wake kukagua Mifumo ya NIDA, Tume ya Uchaguzi !!.


CCM imepoteza Uhalali wa kujiita Chama Cha Siasa, CCM ni GENGE la WAHUNI na waporaji wa Haki za kuchagua za Watanzania.

CCM Majambazi wa HAKI.

SISI CHADEMA tunasema Bila MABADILIKO Hakuna Uchaguzi.


Na sasa tunasema 'Bila kuruhusiwa kukagua Mifumo ya kidigital ya Tume ya Uchaguzi, na NIDA Wenyewe , HAKUTAKUA NA UCHAGUZI".
Alikua wapi siku zote
 
AKILI KILA MTU ANAZO MUIMU KUZITUMIA KWAMANUFAA YAKO!!!

CCM IMESHINDA NA KUSHINDA TANGU ZAMA NA ZAMA LEO NIDA NDIO SABABU YA KUSHINDA KABLA YA NIDA
CCM IMEWAI KASHINDWA LINI.???

Ujinga wa polepole na kujipa moyo. polepole CCM KAIJUA LINI ¿¿¿¿¿
 
Wewe utakuwa bado unaishi dunia ya juzi?
Sasa unataka waTanzania wakawatafute malaika sayari gani?

Napata shida sana kujibu fikra za aina hii ulizoweka hapa. Maana yake wewe ni hao hao mizoga wa Samia na Genge lake waliojazana humu kupindisha kila jambo. Nenda katafute mpuuzi mwingine wa kumweleza upumbavu unaoueleza hapa.
Kama kosa la Chadema hutaki kusikia kwanini Sasa unamuhukumu Polepole kwa kutumia makosa yake ya nyuma?
 
Kila mwenye kitambulisho cha NIDA kashapiga kura na zinasubiri kutangazwa tu, hili ndilo Bomu la Ndugu Polepole akivitaka vyama vyote vya upinzani kuomba tume huru au watu huru wataalam wa kompyuta kwenda kuthibitisha aliyoyasema.
Polepole mwongo sana
 
Kwa matiki hiyo, hakuna haja ya kulaumu watu ambao kamwe hawaangaikagi kupiga kura.
 
Kila mwenye kitambulisho cha NIDA kashapiga kura na zinasubiri kutangazwa tu, hili ndilo Bomu la Ndugu Polepole akivitaka vyama vyote vya upinzani kuomba tume huru au watu huru wataalam wa kompyuta kwenda kuthibitisha aliyoyasema.
Mwambieni akatibiwe huyo mtu wenu anaumwa
 
Back
Top Bottom