GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mpumbavu mkubwa wewe, kwahiyo inaondoa ukweli wa Kua CCM INAIBA KURA??

Mimi sio Mtaalam wa IT Wala Cyber
Daima mtu mpumbavu hujifanya much know, kumbe kabeba fuvu na urojo kichwani. Kama kitu hukijui tuliza makalio yako.
 
Mbona hii inajulikana kitambo,tukisemaga tz kupiga kura ni kupoteza muda na mtu mwenye kujielewa na akili timamu
Hawezi kwenda kukaa foleni,apigwe jua ili apige kura
mbogamboga wao wana incontro l
INEC,wasimamizi wa uchaguzi,
Vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko chini yao
Kwenye uchaguzi mtaweza kweli 😄

Ova
Ni kweli hayo madai yapo ila polepole kaiongelea kwa undani na akiwa na details za kutosha ndio maana kwasasa itachukuliwa kiuzito
 
Kuna maswali hapa nimeulizwa ambayo yametokana na alichosema Polepole:

1. Tupo kwenye zama za kidigitali ,je kuna kosa vyama kulink taarifa za wapigakura wake na mfumo wa NIDA ili kurahisisha utambuzi ?

2. Utaratibu wa kupiga kura na kuhesabu ni kwa kutumia karatasi , je mifumo hiyo imesaidia vipi ushindi kwa CCM?

3. Je Kuna tatizo gani CCM kulink mfumo wake na wa NIDA ikiwa hata taasisi nyingine zinafanya hivyo? Je, tatizo ni kwa CCM?

Akamaliza kwa kusema Polepole kwa sasa hajui asemalo ,amepuuzwa kabisa
mjinga sana sitaki taarifa zangu zitumiwe na ccm
 
Polepole ni jibwa linalobweka bila madhara. Akiambiwa athibitishe anayoropoka hataweza.
Kama Hana madhara kwa Nini kila akijitokeza kuhutubia lazima mkata switch azime mitambo? Pili kaomba Kama Kuna mtu anabisha watafute wataalamu wa IT wafanye huo uchunguzi
 
Kila mwenye kitambulisho cha NIDA kashapiga kura na zinasubiri kutangazwa tu,hili ndilo Bomu la Ndugu Polepole akivitaka vyama vyote vya upinzani kuomba tume huru au watu huru wataalam wa kompyuta kwenda kuthibitisha aliyoyasema.
c4dd5069-e2f4-4454-8aa0-c716ccc2ee48.jpeg
 
Napata taabu sana kumpongeza Polepole, kwa sababu alikuwa ni sehemu muhimu ya tatizo. Ninachoweza kufanya ni kumshukuru tu kwa kulitoa mbele hili na kulifanya liwe wazi.

Polepole hana umma wowote wa wananchi. Haongozi chochote; kwa hiyo hana uwezo wa kuwafanya wananchi wachukue uamzi wowote juu ya anayo yazungumzia.
Pakitokea ndani ya CCM viongozi kadhaa wakaungana naye, hapo tunaweza kuona wananchi wakifuata maelekezo. Vinginevyo, sasa hivi ni CHADEMA pekee ndio wenye uwezo wa kuongea na kusikilizwa na wananchi.
Na hata hao Chadema nao Wana madhambi yao walituaminisha karibia miaka 8 kuwa Lowassa ni fisadi na wakatuambia Wana ushahidi wa ufisadi wake hawakuishia hapo wakatoa mpaka list ya mafisadi wa nchi wakaiita list of shames hao hao wakajakumpokea Lowassa chamani hawakuishia tu kumpokea pekee wakampa mpaka mgombea wa uraisi je vipi mdau wanapaswa kuaminiwa? Kwa kigezo ulichotumia kwa polepole
 
Uongo wake ni upi?
Pole pole ni mkweli. Haiwezekani Ma CCM yahamishe wamasai, yawapige wamasi, yauze bandari hayataki kutoa ajira hata yakitoa ajira ni za upendeleo na masharti kibao ya ajabu ajabu halafu wanakuwa na kiburi Cha ushindi wa uchaguzi na kuunda serikali. Kumbe wanategemea mifumo na siyo wananchi kupiga kura.

mbwa nyie Ma CCM mwaka huu mmeumbuka.

Pole pole endelea na Shule ya maovu ya Ma CCM.
 
Philosophical thoughts by Bishop Benson Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD)


WOTE TUKO NJIAPANDA: Tupande gari gani?

Humphrey Polepole ametuweka njia panda sote. Anayedhani hayuko njia panda, yawezekana tayari ni abiria wa gari la mbele. Tutafakari:

1. Kuna watu usipowasikiliza, ni hasara. Ukiwasikiliza ni hasara pia. Humphrey Polepole ni mmoja wao. Usipomsikiliza unakosa mengi. Ukimsikiliza, anakushawishi kutenguka katika basdhi ya misimamo yako. Chagua kwa hekima.

2. Nani ni bora? Shetani aletaye habari njema au malaika aletaye habari mbaya?
Tuangalie kwa makini vipa umbele vyetu:
-Mungu/Taifa/Chama
Vs
-Chama/Taifa/Mungu

Chagua kwa hekima.

3. Twaweza kumpuuza Humphrey Polepole. Je tutapuuza madhara ya kumpuuza? Chagua kwa busara kati ya kupuuza huku usiweze kupuuza madhara ya upuuzi wako.
Kama anasema uwongo anamdanganya nani? Mungu? Wananchi? Yeye mwenyewe?

4. Kama ni kweli tufanyeje? Kama ni uwongo tufanyeje? Kwa nini aliyoyasema yanafanana na imani na uzoefu wetu? Kwa nini wanaosema aliyoyasema ni uwongo hata wao wanajiona ni waongo?

5. Viapo vyetu viko njiapanda: kukiuka kiapo kwa kusema kweli au kutunza kiapo kwa kuficha ukweli? Tunapoapa twamwapia mwanadamu au Mungu? Tukishupaza shingo (Impunity), twamfanyia Polepole, Katiba, Katiba, wananchi?

6. Hatujui tumefikaje hapa. Tuna uwezo wa kujua tutokeje. Tulinde kura moyoni? Tutiki wakati imeishatikiwa? Tusubiri reform?
Tupige kura kuamua kama tuchague au tusichague?

Unyenyekevu si udhaifu
TURUDI MEZANI
UKWELI ULIOCHELEWA NI BORA KULIKO UWONGO UNAOFARIJI.
HAKUNA TOBA ILIYOCHELEWA
 
Usiamini kila unachoambiwa nampumbavu kama polepole je amesema nani alimpiga lisu risasi?je amesema saa8 yupo wapi?kwanini alidanganya umma kwa kusema chadema nichama cha mbowe?.naleo anasema ndio wapinzani wakweli kaongo sana
Kumbuka ukiokoka unasema ukweli na kuomba radhi ndicho alichofanya polepole
Usiamini kila unachoambiwa nampumbavu kama polepole je amesema nani alimpiga lisu risasi?je amesema saa8 yupo wapi?kwanini alidanganya umma kwa kusema chadema nichama cha mbowe?.naleo anasema kataa maelezo ya mpishi wakati amesema samahani baba wali una chumvi nyingi , wewe unakula unakutana na chumvi nyingi harafu unabisha unasema hakuna chumvi nyingi
Sijui kama umwelewa ,Polepole yeye kaelezeea namna kura zinavyoibiwa hajataja, waliosema sio chadema
 
Back
Top Bottom