KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,250
- 5,509
Shida unayo wewe ambaye unaishi kwako na unasimuliwa kulivyoUna shida wewe.
Shida unayo wewe ambaye unaishi kwako na unasimuliwa kulivyoUna shida wewe.
Duh ni tatizo kubwa sana yaani hawa ccm wametufanya mazuzu muda mrefu sanaNadhani haujaelewa msingi wa tatizo, tatizo ni kubwa zaidi inamaanisha hata usipopiga kura as long as una kitambulisho cha NIDA tayari umepiga kura na tayari umewachagua CCM.
Polepole analeta chachu ya mabadiriko. Anayoyasema yanachochea mabadiriko. Muda utaongea.Napata taabu sana kumpongeza Polepole, kwa sababu alikuwa ni sehemu muhimu ya tatizo. Ninachoweza kufanya ni kumshukuru tu kwa kulitoa mbele hili na kulifanya liwe wazi.
Polepole hana umma wowote wa wananchi. Haongozi chochote; kwa hiyo hana uwezo wa kuwafanya wananchi wachukue uamzi wowote juu ya anayo yazungumzia.
Pakitokea ndani ya CCM viongozi kadhaa wakaungana naye, hapo tunaweza kuona wananchi wakifuata maelekezo. Vinginevyo, sasa hivi ni CHADEMA pekee ndio wenye uwezo wa kuongea na kusikilizwa na wananchi.
Wewe ni mpumbavu, hujawahi sikia au kuona maboksi ya kura yamepatikana yakisafirishwa yakiwa na kura ambazo tayari zimeshapigwa kwa mgombea fulani?Una hoja Sana ila wanavyojibu ndo maana tunaitwa nyumbu
Hata Mimi nimebaki kujiuliza how mfumo uibe wakati kura zinahesabiwa ndani ya chumba mbele ya mawakala
Najua CCM wanaibaga kura Ila labda uniambie kwavituo hewa,rushwa kwa mawakala n.k
Hili la inec na NIDA sijalielewa
Tatizo ni mgongano wa kimaslahi uliopo.Nadhani haujaelewa msingi wa tatizo, tatizo ni kubwa zaidi inamaanisha hata usipopiga kura as long as una kitambulisho cha NIDA tayari umepiga kura na tayari umewachagua CCM.
Tunamuelewa Polepole na tunaunga mkono hoja zake zote.Kuna maswali hapa nimeulizwa ambayo yametokana na alichosema Polepole:
1. Tupo kwenye zama za kidigitali ,je kuna kosa vyama kulink taarifa za wapigakura wake na mfumo wa NIDA ili kurahisisha utambuzi ?
2. Utaratibu wa kupiga kura na kuhesabu ni kwa kutumia karatasi , je mifumo hiyo imesaidia vipi ushindi kwa CCM?
3. Je Kuna tatizo gani CCM kulink mfumo wake na wa NIDA ikiwa hata taasisi nyingine zinafanya hivyo? Je, tatizo ni kwa CCM?
Akamaliza kwa kusema Polepole kwa sasa hajui asemalo ,amepuuzwa kabisa
CCM wakishajua Jimbo la Dodoma mjini Kuna raia 100,000 walio na sifa za kupiga kura yaani zaidi ya miaka 18. Wanatangazwa bila kujali waliopiga kura.Una hoja Sana ila wanavyojibu ndo maana tunaitwa nyumbu
Hata Mimi nimebaki kujiuliza how mfumo uibe wakati kura zinahesabiwa ndani ya chumba mbele ya mawakala
Najua CCM wanaibaga kura Ila labda uniambie kwavituo hewa,rushwa kwa mawakala n.k
Hili la inec na NIDA sijalielewa
Ndio maana kwenye CCM app au digital kuna taarifa zetu za NIDA?.Wakuu Taarifa zetu za NIDA zinaibiwa na CCM na Kutumiwa Kuiba Kura.
Kumbe Jeuri ya Samia na CCM yake ni Kwasababu wanamfumo unaoiba Taarifa .
Tume ya Uchaguzi wahuni WAKUBWA, wanatupa Idadi Feki ya walojiandikisha kupiga Kura.
4. Dhana ya mifumo kusomana imeeleka vipi kwa Polepole?Kuna maswali hapa nimeulizwa ambayo yametokana na alichosema Polepole:
1. Tupo kwenye zama za kidigitali ,je kuna kosa vyama kulink taarifa za wapigakura wake na mfumo wa NIDA ili kurahisisha utambuzi ?
2. Utaratibu wa kupiga kura na kuhesabu ni kwa kutumia karatasi , je mifumo hiyo imesaidia vipi ushindi kwa CCM?
3. Je Kuna tatizo gani CCM kulink mfumo wake na wa NIDA ikiwa hata taasisi nyingine zinafanya hivyo? Je, tatizo ni kwa CCM?
Akamaliza kwa kusema Polepole kwa sasa hajui asemalo ,amepuuzwa kabisa
CCM ni chama cha kisiasa, NIDA ni mfumo unaohusika na watanzania wote, CCM wanatoa wapi hayo mamlaka? INEC ni Taasisi huru au Tasisi ya CCM? Acha kuona watu mapoyoyo bas.Kuna maswali hapa nimeulizwa ambayo yametokana na alichosema Polepole:
1. Tupo kwenye zama za kidigitali ,je kuna kosa vyama kulink taarifa za wapigakura wake na mfumo wa NIDA ili kurahisisha utambuzi ?
2. Utaratibu wa kupiga kura na kuhesabu ni kwa kutumia karatasi , je mifumo hiyo imesaidia vipi ushindi kwa CCM?
3. Je Kuna tatizo gani CCM kulink mfumo wake na wa NIDA ikiwa hata taasisi nyingine zinafanya hivyo? Je, tatizo ni kwa CCM?
Akamaliza kwa kusema Polepole kwa sasa hajui asemalo ,amepuuzwa kabisa
nimekuelewa hapo kuna kikwazo unashauri nini kifanyike ?Ninakubaliana naye. Lakini mchakato huo anaoupendekeza yeye ni nani atausimamia, wakati wenye mpango wao wakiwa hawataki kufanya hivyo?
Wewe unashauri tufanyaje sasa?Shida kubwa ni kwamba sawa ukweli umejulikana lakini mtawafanya nini ikiwa wao wamedhibiti kila idara kwenye nchi na wamefanikiwa kutengeneza kizazi chenye hofu kupita kiasi 🙄🙄