Hata wakijua watafanya nini mbele ya ccmInamaana Tume ya Uchaguzi haijui Servers zao zimedukuliwa ????
Umelishwa matango pori na hahitaji elimu ya chuo kujua umetapeliwa. Kura zinahesabiwa kwenye vituoni na idadi ya wapigakura sio idadi ya waliopigakuraCCM wakishajua Jimbo la Dodoma mjini Kuna raia 100,000 walio na sifa za kupiga kura yaani zaidi ya miaka 18. Wanatangazwa bila kujali waliopiga kura.
NIDA inaidadi kubwa ya raia kuliko Daftari la wapiga kura.
NIDA,CCM na Tume ni kitu kimoja.Inamaana kweli NIDA hawajui Servers zao zimedukuliwa na Ma CCM???
Polepole kawafungulia code. Code za Nape mlikuwa hamzielewiNdio maana kwenye CCM app au digital kuna taarifa zetu za NIDA?.
Watakwambia Mfumo KristoNasubiri reaction ya mashehe.
Mahakama yenyewe ilitakiwa huru ila inaendeshwa na CCM ijekuwa NIDA!CCM ni chama cha kisiasa, NIDA ni mfumo unaohusika na watanzania wote, CCM wanatoa wapi hayo mamlaka? INEC ni Taasisi huru au Tasisi ya CCM? Acha kuona watu mapoyoyo bas.
Akili hii nayo ni matope. Unalinfanishaje malalamiko ya akina Slaa na Mrema na hiki alichosema Polepole? Wewe ulikuwa unajua m kwamba mfumo wa NIDA umeunganishwa na CCM?
Sasa sijui itakuwaje, kwa sababu tunaanza kupishana.Polepole analeta chachu ya mabadiriko. Anayoyasema yanachochea mabadiriko. Muda utaongea.
Leo wewe umekesha unachungulia kwenye mtandao Polepole anazungumza nini. Ni process ya mabadiriko. Mabadiliko ni process. Imeanzishwa na mtu mmoja au wawili na mwisho itaungwa mkono na watu wengi au umma. Ndo mabadiriko yanatokea. Soma historia za maarifa tofauti utaelewa nachokisema.
Wewe ndo hujui hadi uambiwe na Pole PoleInamaana kweli NIDA hawajui Servers zao zimedukuliwa na Ma CCM???
Unamuwajibisha vipi boss wako ? Na ndio maana watu wakisema wanahitaji mabadiliko wanamaanishaVyombo vya ulinzi na usalama mko wapi wakati ccm wanayafanya haya? Je nyie vyombo na ccm pamoja na lissu nani mhaini?
kwa mfani, benki ya CRDB ambayo ni ya binafsi imetoa mamlaka wapi ya kulink mfumo wake na NIDA?CCM ni chama cha kisiasa, NIDA ni mfumo unaohusika na watanzania wote, CCM wanatoa wapi hayo mamlaka? INEC ni Taasisi huru au Tasisi ya CCM? Acha kuona watu mapoyoyo bas.
Vyombo vya ulinzi na usalama vinaongozwa na makada wa ccmVyombo vya ulinzi na usalama mko wapi wakati ccm wanayafanya haya? Je nyie vyombo na ccm pamoja na lissu nani mhaini?
Haya mambo ni vile tu bado tunaishi na familia zetu ubena-zomozi ila tunajua yanaratibiwa wilayani na mikoani.Wakuu Taarifa zetu za NIDA zinaibiwa na CCM na Kutumiwa Kuiba Kura.
Kumbe Jeuri ya Samia na CCM yake ni Kwasababu wanamfumo unaoiba Taarifa .
Tume ya Uchaguzi wahuni WAKUBWA, wanatupa Idadi Feki ya walojiandikisha kupiga Kura.
Hujui kuw hao ndo wanaratibu hayo mambo.Ni vile tu tunaishi na familia zetu ubena zimoziVyombo vya ulinzi na usalama mko wapi wakati ccm wanayafanya haya? Je nyie vyombo na ccm pamoja na lissu nani mhaini?
Uchunguzi gani tena ndugu???Sio kwamba zimedukuliwa, zimeunganishwa rasmi kuwa kama mfumo mmoja kwa sasa.
Kwahiyo CCM wana access na mifumo hiyo mingine ya NIDA na tume ya uchaguzi na wanapewa ushirikiano wa kutosha na hizo taasisi anavyosema Polepole.
Kwenye mazingira kama haya unahitaji mtu kama Jaji Warioba kufanya uchunguzi wa kina.