GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Umelishwa matango pori na hahitaji elimu ya chuo kujua umetapeliwa. Kura zinahesabiwa kwenye vituoni na idadi ya wapigakura sio idadi ya waliopigakura
Unaelewa maana ya kuiba kura?

Au hujui CCM wanaiba uchaguzi?.

Mambo ni mengi. Wacha nikuongezee na hii.

Kwanza hupeleka kura feki kwenye vituo vya kupigia kura. wakishindwa hapo wanajitangazia kura idadi karibia na NIDA.
 
Tuhuma hii ni kubwa sana. Huu ni uhaini. CCM imekuwa ikifanya uhaini huku tume ya uchaguzi ikiamua kukaa kimya! Hili ni suala la kuwafikisha watu mahakamani!
Namnukuu mzee lubuva.

"Matokeo nayatangaza kwa kadri yanavyo nifikia"

Hali akijua kabisa akina makamba wapo wanapiga LA MKONO

Hiyo kauli aliitaja mara nyingi sana wengine tulimuelewa kuwa asilaumiwe. Yeye anatangaza kinacho mfikia mezani
 
Mambo wa kijana wetu Chuwa; yule mtaalam wa IT aliyepata kusoma SA na UK..NEC na CCM walimpatia kazi ila baada ya hapo sikuoni tena.
 
Wakuu, Kuna jambo Kalisema Polepole, ila linapuuzwa ili kuonekana halina maana, ukweli ni kua UCHAGUZI HAUNA MAANA TENA KWA JAMBO HILI.

Wakuu kuanzia Leo nimemaini TUNDU LISSU ni NABII WA MUNGU , kama alivyokus Mussa.

LISSU amekomaa sana kwenye Mkutano kuhusu Servers za Tume ya Uchaguzi, LISSU kasema tunataka Vyama vya Siasa turuhusiwe kukagua , inawezekana LISSU alikua analisema bila kujua chochote na bila utaalam wowote.

Leo POLEPOLE kaliweka wazi hili , CCM walotengeneza Mfumo wa kikomoyuta ambao una Link Taarifa za Mfumo mitatu yaan CCM +NIDA+NEC , Kwa kuunganisha Mifumo hii mitatu, CCM WANAUHAKIKA WA KUZALISHA USHINDI WA KURA MAPEMA KABISA HATA KABLA YA UCHAGUZI.

Polepole ameomba Mungu amsamehe kwani Kwa Sasa ni kiumbe Kipya .

WAKUU ITOSHE KUSEMA, TUMEUMIZWA SANA NA CCM, LEO NMESHIKWA NA HASIRA SANA, KUMBE WATANZANIA WANAPOTEZA MUDA KWENDA KUPIGA KURA, KUMBE KURA YA MTANZANIA NI TAKATAKA MACHONI MWA CCM, KUMBE CCM MPAKA MIDA HUU TAYARI WAMESHASHINDA UCHAGUZI MKUU.

Kiufupi Ndugu zangu, HAKUNA UCHAGUZI, CHADEMA TUKOMAE NA NO REFORMS NO ELECTION!!!
Kumbe ndo maana wasema Oct watick
 
Namnukuu mzee lubuva.

"Matokeo nayatangaza kwa kadri yanavyo nifikia"

Hali akijua kabisa akina makamba wapo wanapiga LA MKONO

Hiyo kauli aliitaja mara nyingi sana wengine tulimuelewa kuwa asilaumiwe. Yeye anatangaza kinacho mfikia mezani

Ninakazia:

Kuingilia mifumo ya uchaguzi ni Uhaini. Lissu anashtakiwa kwa niaba yetu kwa kufanya Uhaini na tunaopaswa kuwashitaki kwa Uhaini!

Ngoja niyaite:

Stuxnet, ChoiceVariables, Tlaatlaah, Lukasi, Huihoi2, joni na wale wengine, mahaini ni maadui zetu sote!

Paskali au nasema uongo?
 
Wakuu, Kuna jambo Kalisema Polepole, ila linapuuzwa ili kuonekana halina maana, ukweli ni kua UCHAGUZI HAUNA MAANA TENA KWA JAMBO HILI.

Wakuu kuanzia Leo nimemaini TUNDU LISSU ni NABII WA MUNGU , kama alivyokus Mussa.

LISSU amekomaa sana kwenye Mkutano kuhusu Servers za Tume ya Uchaguzi, LISSU kasema tunataka Vyama vya Siasa turuhusiwe kukagua , inawezekana LISSU alikua analisema bila kujua chochote na bila utaalam wowote.

Leo POLEPOLE kaliweka wazi hili , CCM walotengeneza Mfumo wa kikomoyuta ambao una Link Taarifa za Mfumo mitatu yaan CCM +NIDA+NEC , Kwa kuunganisha Mifumo hii mitatu, CCM WANAUHAKIKA WA KUZALISHA USHINDI WA KURA MAPEMA KABISA HATA KABLA YA UCHAGUZI.

Polepole ameomba Mungu amsamehe kwani Kwa Sasa ni kiumbe Kipya .

WAKUU ITOSHE KUSEMA, TUMEUMIZWA SANA NA CCM, LEO NMESHIKWA NA HASIRA SANA, KUMBE WATANZANIA WANAPOTEZA MUDA KWENDA KUPIGA KURA, KUMBE KURA YA MTANZANIA NI TAKATAKA MACHONI MWA CCM, KUMBE CCM MPAKA MIDA HUU TAYARI WAMESHASHINDA UCHAGUZI MKUU.

Kiufupi Ndugu zangu, HAKUNA UCHAGUZI, CHADEMA TUKOMAE NA NO REFORMS NO ELECTION!!!
Chadema Wako sahihi Sana...NRNE
 
Wajanja tunajua hizi njama kitambo sana! Umesikia wanasema wamejiandikisha watu milioni sijui ngapi. Wale ni watu wa NIDA. 😁

Hii nchi ukishaijua, haikusumbui yaani. Werevu wengi hatupigia kura since 2000. Naam
Hata usipopiga kura haisaidii mana data Yako ya Nida wanayo na inawezekana ikatumika kuongeza kura
 
Wakuu, Kuna jambo Kalisema Polepole, ila linapuuzwa ili kuonekana halina maana, ukweli ni kua UCHAGUZI HAUNA MAANA TENA KWA JAMBO HILI.

Wakuu kuanzia Leo nimemaini TUNDU LISSU ni NABII WA MUNGU , kama alivyokus Mussa.

LISSU amekomaa sana kwenye Mkutano kuhusu Servers za Tume ya Uchaguzi, LISSU kasema tunataka Vyama vya Siasa turuhusiwe kukagua , inawezekana LISSU alikua analisema bila kujua chochote na bila utaalam wowote.

Leo POLEPOLE kaliweka wazi hili , CCM walotengeneza Mfumo wa kikomoyuta ambao una Link Taarifa za Mfumo mitatu yaan CCM +NIDA+NEC , Kwa kuunganisha Mifumo hii mitatu, CCM WANAUHAKIKA WA KUZALISHA USHINDI WA KURA MAPEMA KABISA HATA KABLA YA UCHAGUZI.

Polepole ameomba Mungu amsamehe kwani Kwa Sasa ni kiumbe Kipya .

WAKUU ITOSHE KUSEMA, TUMEUMIZWA SANA NA CCM, LEO NMESHIKWA NA HASIRA SANA, KUMBE WATANZANIA WANAPOTEZA MUDA KWENDA KUPIGA KURA, KUMBE KURA YA MTANZANIA NI TAKATAKA MACHONI MWA CCM, KUMBE CCM MPAKA MIDA HUU TAYARI WAMESHASHINDA UCHAGUZI MKUU.

Kiufupi Ndugu zangu, HAKUNA UCHAGUZI, CHADEMA TUKOMAE NA NO REFORMS NO ELECTION!!!
BAO LA MKONO.
 
ivi mda nilopoteza kujiandikisha si ningekua napiga bia zangu yani nawapisha wajawazito wazee kujiandikisha kumbe ccm wananiona msukule tu, naiomba mizimu ya wazalendo wa Tanganyika iiangushe ccm yote kuanzia leo.
 
Hii kitaalamu ni kuwa CCM amekuwa, na anaweza kuyachezea matokeo ya chaguzi atakavyo.

"Haya ndiyo ambayo wamekuwa wanayapigia kelele Kenya na Odinga kwa kauli mbiu yao almaarufu, wafungue chungu!"

View attachment 3448602

Kwamba mnaweza kuwa mlikuwapo Kila kitu sawa, ghafla bin vuuu! Tarakimu zikabadilika kuwa zozote. Alisema Cheyo kwenda na mkewe kupiga kura, ati kuwa hata mkewe hakumpigia! Akihusisha tukio hilo CCM labda kuwa na majini!

Hii inajibu sababu za kukataa kwa tume kura kuhesabiwa vituoni, vyama kuwa na vituo vyao vya kujumlishia matokeo na longo longo zote kuhusiana wasimamizi wa uchaguzi wa vyama, kura za mapema Zanzibar n.k. Kumbe zote zimekuwa ni hila!

Kwa mtaji huu, wasimamizi wa vyama wasionunulika au kukaba vilivyo hadi penalty aina za kina Mdude, Soka, Ben na wenzao wangenusurika wapi?

Ameomba msamaha Polepole kwa kuhusika kwenye hili. Kwa hakika ni heri yeye vinginevyo tungeujulia wapi u fedhuli huu? Wanasema ni heri nusu shari.

"Mungu ambariki Polepole, Mungu ambariki TAL. Hatuko mbali na nyumbani"

No Reforms no Election!

Pia soma: NRNE na mazagazaga yake ni mpango wa Mungu. Nani ajuaye kuwa Polepole leo, hatutajua walipo wenzetu waliopotea na yote ya uvunguni?
Mbona hakuna jipya
 
Mbona hakuna jipya

Hakuna jipya? Tunasema:

IMG_20240428_070927.jpg

Mahaini halali yetu:

Kuingilia mifumo ya uchaguzi ni Uhaini. Lissu anashtakiwa kwa niaba yetu kwa kufanya Uhaini na tunaopaswa kuwashitaki kwa Uhaini!
 
Wakuu maana ya Hili ni kua

SERVERS za Tume ya Taifa ya Uchaguzi , zimedukuliwa na CCM .

Servers za NIDA zimedukuliwa na CCM.

Kwahiyo CCM wanauwezo wa kutumia Taarifa za NIDA tu kupiga Kura, na kufeed Matokeo Yao kwenye Servers za Tume ya Uchaguzi.😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
So tu kwenye kura, they can do alot more of wrong staffs
 
Hii kitaalamu ni kuwa CCM amekuwa, na anaweza kuyachezea matokeo ya chaguzi atakavyo.

"Haya ndiyo ambayo wamekuwa wanayapigia kelele Kenya na Odinga kwa kauli mbiu yao almaarufu, wafungue chungu!"

View attachment 3448602

Kwamba mnaweza kuwa mlikuwapo Kila kitu sawa, ghafla bin vuuu! Tarakimu zikabadilika kuwa zozote. Alisema Cheyo kwenda na mkewe kupiga kura, ati kuwa hata mkewe hakumpigia! Akihusisha tukio hilo CCM labda kuwa na majini!

Hii inajibu sababu za kukataa kwa tume kura kuhesabiwa vituoni, vyama kuwa na vituo vyao vya kujumlishia matokeo na longo longo zote kuhusiana wasimamizi wa uchaguzi wa vyama, kura za mapema Zanzibar n.k. Kumbe zote zimekuwa ni hila!

Kwa mtaji huu, wasimamizi wa vyama wasionunulika au kukaba vilivyo hadi penalty aina za kina Mdude, Soka, Ben na wenzao wangenusurika wapi?

Ameomba msamaha Polepole kwa kuhusika kwenye hili. Kwa hakika ni heri yeye vinginevyo tungeujulia wapi u fedhuli huu? Wanasema ni heri nusu shari.

"Mungu ambariki Polepole, Mungu ambariki TAL. Hatuko mbali na nyumbani"

No Reforms no Election!

Pia soma: NRNE na mazagazaga yake ni mpango wa Mungu. Nani ajuaye kuwa Polepole leo, hatutajua walipo wenzetu waliopotea na yote ya uvunguni?
BAO LA MKONO.
 
Usiamini kila unachoambiwa nampumbavu kama polepole je amesema nani alimpiga lisu risasi?je amesema saa8 yupo wapi?kwanini alidanganya umma kwa kusema chadema nichama cha mbowe?.naleo anasema ndio wapinzani wakweli kaongo sana
Kilikuwa chama cha mbowe sasa kimejitambua, elewa wewe kilaza
 
Back
Top Bottom