GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wakuu, Kuna jambo Kalisema Polepole, ila linapuuzwa ili kuonekana halina maana, ukweli ni kua UCHAGUZI HAUNA MAANA TENA KWA JAMBO HILI.

Wakuu kuanzia Leo nimemaini TUNDU LISSU ni NABII WA MUNGU , kama alivyokus Mussa.

LISSU amekomaa sana kwenye Mkutano kuhusu Servers za Tume ya Uchaguzi, LISSU kasema tunataka Vyama vya Siasa turuhusiwe kukagua , inawezekana LISSU alikua analisema bila kujua chochote na bila utaalam wowote.

Leo POLEPOLE kaliweka wazi hili , CCM walotengeneza Mfumo wa kikomoyuta ambao una Link Taarifa za Mfumo mitatu yaan CCM +NIDA+NEC , Kwa kuunganisha Mifumo hii mitatu, CCM WANAUHAKIKA WA KUZALISHA USHINDI WA KURA MAPEMA KABISA HATA KABLA YA UCHAGUZI.


Polepole ameomba Mungu amsamehe kwani Kwa Sasa ni kiumbe Kipya .


WAKUU ITOSHE KUSEMA, TUMEUMIZWA SANA NA CCM, LEO NMESHIKWA NA HASIRA SANA, KUMBE WATANZANIA WANAPOTEZA MUDA KWENDA KUPIGA KURA, KUMBE KURA YA MTANZANIA NI TAKATAKA MACHONI MWA CCM, KUMBE CCM MPAKA MIDA HUU TAYARI WAMESHASHINDA UCHAGUZI MKUU.


Kiufupi Ndugu zangu, HAKUNA UCHAGUZI, CHADEMA TUKOMAE NA NO REFORMS NO ELECTION!!!
Tatizo, hatuna vyombo vya uchunguzi huru. Hivi tulivyonavyo vinawajibika kwa anayetakiwa kuchunguzwa.

WaTz nchi hii mmewaachia wahuni. Na wanadharau kwa vile hatuna la kuwafanya.
 
Kuna maswali hapa nimeulizwa ambayo yametokana na alichosema Polepole:

1. Tupo kwenye zama za kidigitali ,je kuna kosa vyama kulink taarifa za wapigakura wake na mfumo wa NIDA ili kurahisisha utambuzi ?

2. Utaratibu wa kupiga kura na kuhesabu ni kwa kutumia karatasi , je mifumo hiyo imesaidia vipi ushindi kwa CCM?

3. Je Kuna tatizo gani CCM kulink mfumo wake na wa NIDA ikiwa hata taasisi nyingine zinafanya hivyo? Je, tatizo ni kwa CCM?

Akamaliza kwa kusema Polepole kwa sasa hajui asemalo ,amepuuzwa kabisa
Nyie ndo watu mliojaza SAMADI,NA MBOJI KICHWANI BADALA ya Ubongo
 
Polepole anatapatapa. Yeye na genge lake la awamu ya 5 wasidhani kila awamu ina mashetani kama wao waliopora uchaguzi 2020. Atulie tuko awamu ya 6.
Wewe huna akili.

Alichokisema Polepole ni serious claims, ni threat kwa National security and interest so in any case, hata afe kesho tupate uhuru miaka 20 Ijayo waliohusika wanakesi ya uhaini
 
Wakuu, Kuna jambo Kalisema Polepole, ila linapuuzwa ili kuonekana halina maana, ukweli ni kua UCHAGUZI HAUNA MAANA TENA KWA JAMBO HILI.

Wakuu kuanzia Leo nimemaini TUNDU LISSU ni NABII WA MUNGU , kama alivyokus Mussa.

LISSU amekomaa sana kwenye Mkutano kuhusu Servers za Tume ya Uchaguzi, LISSU kasema tunataka Vyama vya Siasa turuhusiwe kukagua , inawezekana LISSU alikua analisema bila kujua chochote na bila utaalam wowote.

Leo POLEPOLE kaliweka wazi hili , CCM walotengeneza Mfumo wa kikomoyuta ambao una Link Taarifa za Mfumo mitatu yaan CCM +NIDA+NEC , Kwa kuunganisha Mifumo hii mitatu, CCM WANAUHAKIKA WA KUZALISHA USHINDI WA KURA MAPEMA KABISA HATA KABLA YA UCHAGUZI.


Polepole ameomba Mungu amsamehe kwani Kwa Sasa ni kiumbe Kipya .


WAKUU ITOSHE KUSEMA, TUMEUMIZWA SANA NA CCM, LEO NMESHIKWA NA HASIRA SANA, KUMBE WATANZANIA WANAPOTEZA MUDA KWENDA KUPIGA KURA, KUMBE KURA YA MTANZANIA NI TAKATAKA MACHONI MWA CCM, KUMBE CCM MPAKA MIDA HUU TAYARI WAMESHASHINDA UCHAGUZI MKUU.


Kiufupi Ndugu zangu, HAKUNA UCHAGUZI, CHADEMA TUKOMAE NA NO REFORMS NO ELECTION!!!
Sawa
 
KWA UOZO HUU UNAOIBULIWA NA POLEPOLE, OKTOBA TUNAKINUKISHA.HATUTAKUBALI HUU UJINGA WA WAHUNI WACHACHE WA CCM KUTUPANDA KICHWANI ZAIDI YA WATU MILIONI 60.
 
CCM kwa hili MCHUTAME...Uchaguzi usogezwe mbele..iteni Meza ya Mazungumzo ya dhati , mtupatie Katiba Mpya iliyo BORA na Tume huru kwelikweli ya Uchaguzi....

Jaji Mwambogele Wa Mahakama ya Rufaa na Mwenyekiti NEC "Huru" kulinda hadhi ya nchi, hadhi ya Mahakama na hadhi yako mwenyewe JIUZULU
Na iww hivyo- Amen
 
Una hoja Sana ila wanavyojibu ndo maana tunaitwa nyumbu

Hata Mimi nimebaki kujiuliza how mfumo uibe wakati kura zinahesabiwa ndani ya chumba mbele ya mawakala
Najua CCM wanaibaga kura Ila labda uniambie kwavituo hewa,rushwa kwa mawakala n.k

Hili la inec na NIDA sijalielewa
Kwa taarifa yako alichoongea polepole ni ukweli.
 
Hawa ndio prostitute of politics kinachoangaliwa pesa tu,utafikiri mashamba hawayaoni kmmmmmk
 
Hii kitaalamu ni kuwa CCM amekuwa, na anaweza kuyachezea matokeo ya chaguzi atakavyo.

"Haya ndiyo ambayo wamekuwa wanayapigia kelele Kenya na Odinga kwa kauli mbiu yao almaarufu, wafungue chungu!"

View attachment 3448602

Kwamba mnaweza kuwa mlikuwapo Kila kitu sawa, ghafla bin vuuu! Tarakimu zikabadilika kuwa zozote. Alisema Cheyo kwenda na mkewe kupiga kura, ati kuwa hata mkewe hakumpigia! Akihusisha tukio hilo CCM labda kuwa na majini!

Hii inajibu sababu za kukataa kwa tume kura kuhesabiwa vituoni, vyama kuwa na vituo vyao vya kujumlishia matokeo na longo longo zote kuhusiana wasimamizi wa uchaguzi wa vyama, kura za mapema Zanzibar n.k. Kumbe zote zimekuwa ni hila!

Kwa mtaji huu, wasimamizi wa vyama wasionunulika au kukaba vilivyo hadi penalty aina za kina Mdude, Soka, Ben na wenzao wangenusurika wapi?

Ameomba msamaha Polepole kwa kuhusika kwenye hili. Kwa hakika ni heri yeye vinginevyo tungeujulia wapi u fedhuli huu? Wanasema ni heri nusu shari.

"Mungu ambariki Polepole, Mungu ambariki TAL. Hatuko mbali na nyumbani"

No Reforms no Election!

Pia soma: NRNE na mazagazaga yake ni mpango wa Mungu. Nani ajuaye kuwa Polepole leo, hatutajua walipo wenzetu waliopotea na yote ya uvunguni?
Kafumua jambo kubwa sana kwa watu wenye akili wamemuelewa vizuri sana
 
tunapuuza kwa sababu mıfumo yote NIDA, ya kupıga kura, ya ccm, ımewekwa na mtu mmoja ambaye nı serıkalı ya ccm, sasa kusema etı ccm wanajıdukua uwo nı upotoshajı maana hakuna mfumo ambao hauko chını ya serıkalı ya ccm, hıvyo mıfumo yote ımewekwa na wataalam ambap wako chını ya serıkalı ya ccm, km kuna data zımahıtajıka wala hamna haja ya kudukua maana wataalam wa mıfumo wote wamewekwa na serıkalı ya ccm
 
Back
Top Bottom