GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hii kitaalamu ni kuwa CCM amekuwa, na anaweza kuyachezea matokeo ya chaguzi atakavyo.

"Haya ndiyo ambayo wamekuwa wanayapigia kelele Kenya na Odinga kwa kauli mbiu yao almaarufu, wafungue chungu!"

View attachment 3448602

Kwamba mnaweza kuwa mlikuwapo Kila kitu sawa, ghafla bin vuuu! Tarakimu zikabadilika kuwa zozote. Alisema Cheyo kwenda na mkewe kupiga kura, ati kuwa hata mkewe hakumpigia! Akihusisha tukio hilo CCM labda kuwa na majini!

Hii inajibu sababu za kukataa kwa tume kura kuhesabiwa vituoni, vyama kuwa na vituo vyao vya kujumlishia matokeo na longo longo zote kuhusiana wasimamizi wa uchaguzi wa vyama, kura za mapema Zanzibar n.k. Kumbe zote zimekuwa ni hila!

Kwa mtaji huu, wasimamizi wa vyama wasionunulika au kukaba vilivyo hadi penalty aina za kina Mdude, Soka, Ben na wenzao wangenusurika wapi?

Ameomba msamaha Polepole kwa kuhusika kwenye hili. Kwa hakika ni heri yeye vinginevyo tungeujulia wapi u fedhuli huu? Wanasema ni heri nusu shari.

"Mungu ambariki Polepole, Mungu ambariki TAL. Hatuko mbali na nyumbani"

No Reforms no Election!

Pia soma: NRNE na mazagazaga yake ni mpango wa Mungu. Nani ajuaye kuwa Polepole leo, hatutajua walipo wenzetu waliopotea na yote ya uvunguni?
NO REFORMS NO ELECTION
 
Wanaotakiwa kuwajibika ni tume ya uchaguzi, viongozi wa NIDA, wizara inayosimamia NIDA, Viongozi wa CCM.

Kuunda serikali ya umoja wa Kitaifa, serikali ya mpito kusafisha huu uchafu wote, na kuweka mazingira sahihi kabla ya uchaguzi kama tume huru, marekebisho ya katiba, mahakama zinazotenda haki.
kwa hiyo umethibitisha ni kweli
 
Wakuu, Kuna jambo Kalisema Polepole, ila linapuuzwa ili kuonekana halina maana, ukweli ni kua UCHAGUZI HAUNA MAANA TENA KWA JAMBO HILI.

Wakuu kuanzia Leo nimemaini TUNDU LISSU ni NABII WA MUNGU , kama alivyokus Mussa.

LISSU amekomaa sana kwenye Mkutano kuhusu Servers za Tume ya Uchaguzi, LISSU kasema tunataka Vyama vya Siasa turuhusiwe kukagua , inawezekana LISSU alikua analisema bila kujua chochote na bila utaalam wowote.

Leo POLEPOLE kaliweka wazi hili , CCM walotengeneza Mfumo wa kikomoyuta ambao una Link Taarifa za Mfumo mitatu yaan CCM +NIDA+NEC , Kwa kuunganisha Mifumo hii mitatu, CCM WANAUHAKIKA WA KUZALISHA USHINDI WA KURA MAPEMA KABISA HATA KABLA YA UCHAGUZI.

Polepole ameomba Mungu amsamehe kwani Kwa Sasa ni kiumbe Kipya .

WAKUU ITOSHE KUSEMA, TUMEUMIZWA SANA NA CCM, LEO NMESHIKWA NA HASIRA SANA, KUMBE WATANZANIA WANAPOTEZA MUDA KWENDA KUPIGA KURA, KUMBE KURA YA MTANZANIA NI TAKATAKA MACHONI MWA CCM, KUMBE CCM MPAKA MIDA HUU TAYARI WAMESHASHINDA UCHAGUZI MKUU.

Kiufupi Ndugu zangu, HAKUNA UCHAGUZI, CHADEMA TUKOMAE NA NO REFORMS NO ELECTION!!!
Polepole ongeza ongeza mabomu yalipuke mazma
 
Kama naanza kushawishika na hawa wahuni wenzake Polepole vile?
 
Attachments

  • IMG-20250821-WA0012.jpg
    IMG-20250821-WA0012.jpg
    561.5 KB · Views: 27
  • IMG-20250821-WA0028.jpg
    IMG-20250821-WA0028.jpg
    519.9 KB · Views: 21
Kuna maswali hapa nimeulizwa ambayo yametokana na alichosema Polepole:

1. Tupo kwenye zama za kidigitali ,je kuna kosa vyama kulink taarifa za wapigakura wake na mfumo wa NIDA ili kurahisisha utambuzi ?

2. Utaratibu wa kupiga kura na kuhesabu ni kwa kutumia karatasi , je mifumo hiyo imesaidia vipi ushindi kwa CCM?

3. Je Kuna tatizo gani CCM kulink mfumo wake na wa NIDA ikiwa hata taasisi nyingine zinafanya hivyo? Je, tatizo ni kwa CCM?

Akamaliza kwa kusema Polepole kwa sasa hajui asemalo ,amepuuzwa kabisa
Unaposema lolote, zingatia, Pole pole sio wa kwanza kutoa siri

, (Bashiru,) huwezi kushindwa uchaguzi ukiwa na dola, (Nape,) Uchaguzi hautegemei kura ila anayetangaza na kuhesabu.(DC wa Longido,) Alisema waliwatupa watu maporini, na ushindi uliamuliwa na Serikali. (Magufuli) Siwezi kukupa mshahara, gari na marupurupu halafu umtangaze mpinzani ameshinda.

Kanusha haya kama unaweza.

Utekelezaji ukawa 2019, 2020, 2024 na utarudiwa 2025.

Maigizo ya kuharibu mabilioni ya hela bora tungejengea madaraja na vyoo vya shule tu.
 
Kuna maswali hapa nimeulizwa ambayo yametokana na alichosema Polepole:

1. Tupo kwenye zama za kidigitali ,je kuna kosa vyama kulink taarifa za wapigakura wake na mfumo wa NIDA ili kurahisisha utambuzi ?

2. Utaratibu wa kupiga kura na kuhesabu ni kwa kutumia karatasi , je mifumo hiyo imesaidia vipi ushindi kwa CCM?

3. Je Kuna tatizo gani CCM kulink mfumo wake na wa NIDA ikiwa hata taasisi nyingine zinafanya hivyo? Je, tatizo ni kwa CCM?

Akamaliza kwa kusema Polepole kwa sasa hajui asemalo ,amepuuzwa kabisa

Kwanza amesema na yeye alihusika kwenye huo wizi wa kura kwa njia ya mtandao so anaongea anachokijua

Pili kwa hoja yako, why ccm ndio iwe na mfumo ambao unalink na nida, tume ya uchaguzi, why not vyama vingine?
 
Ila nilivyozowea kuona mwisho wa siku ni kauli tu ya Mwenyekiti wa Tume ndiyo neno la mwisho. Na ndipo penye tatizo katika katiba yetu.
 
Usiamini kila unachoambiwa nampumbavu kama polepole je amesema nani alimpiga lisu risasi?je amesema saa8 yupo wapi?kwanini alidanganya umma kwa kusema chadema nichama cha mbowe?.naleo anasema ndio wapinzani wakweli kaongo sana
Kilikuwa chama cha mbiwe sasa kimejitambua, elewa wewe kilaza
Kilaza niwewe shwqin haya vipi kupigwa risasi lisu na saa 8 ilikuwa nini? We kilazahilo sio mada ya leo
 
Una hoja Sana ila wanavyojibu ndo maana tunaitwa nyumbu

Hata Mimi nimebaki kujiuliza how mfumo uibe wakati kura zinahesabiwa ndani ya chumba mbele ya mawakala
Najua CCM wanaibaga kura Ila labda uniambie kwavituo hewa,rushwa kwa mawakala n.k

Hili la inec na NIDA sijalielewa

Ndio maana amesema ni kiini macho

Kwani ujawahi kusikia malalamiko ya wapiga kura ni elf tano ila mgombea kapata kura elf nane?
 
HATIMAYE Mh POLEPOLE ,kavitaka Vyama vya Upinzani , Kutoshiriki uchaguzi Mkuu wowote ule mpaka Pale Vyama hivo vitakapotumia Wataalam wake kukagua Mifumo ya NIDA, Tume ya Uchaguzi !!.

CCM imepoteza Uhalali wa kujiita Chama Cha Siasa, CCM ni GENGE la WAHUNI na waporaji wa Haki za kuchagua za Watanzania.

CCM Majambazi wa HAKI.

SISI CHADEMA tunasema Bila MABADILIKO Hakuna Uchaguzi.

Na sasa tunasema 'Bila kuruhusiwa kukagua Mifumo ya kidigital ya Tume ya Uchaguzi, na NIDA Wenyewe , HAKUTAKUA NA UCHAGUZI".
Tujadili hoja zake na hoja za wahuni wenzake hawa huko mitandaoni. Mamlaka ya kimaadili...inazingatiwa kwa mtoa hoja.
 
Attachments

  • IMG-20250821-WA0012.jpg
    IMG-20250821-WA0012.jpg
    561.5 KB · Views: 27
  • IMG-20250821-WA0028.jpg
    IMG-20250821-WA0028.jpg
    519.9 KB · Views: 19
Usiamini kila unachoambiwa nampumbavu kama polepole je amesema nani alimpiga lisu risasi?je amesema saa8 yupo wapi?kwanini alidanganya umma kwa kusema chadema nichama cha mbowe?.naleo anasema ndio wapinzani wakweli kaongo sana
Wewe mwendawazimu, ndiyo wa kumwambia PolePole mpumbavu? To hell you cursed creature.
 
Akili huna na kama ulisoma hadi chuo kikuu basi wazazi wako walipata hasara kusomesha nguruwe pori!.
Hoja za polepole unaweza kuzipangua kwa vijiswali uchwara kama hivyo?.
 
Back
Top Bottom