GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
KNi fedheha kwa jaji wa mahakama kuwa sehemu ya uchafu huu, lakini tufanyeje naye ndoto yake ni kuteuliwa. Jaji wa mahakama ya. rufani na kuwa na uhakika wa maisha Hadi kifo.

Taasisi zote zitahitaji kufumuliwa. Kwanini jaji ahakikishiwe maisha yake Hadi kufa lakini SI daktari, profesa, mkulima, mwalimu au mwanajeshi?

Futungo si watu wazuri!
 
Kuna maswali hapa nimeulizwa ambayo yametokana na alichosema Polepole:

1. Tupo kwenye zama za kidigitali ,je kuna kosa vyama kulink taarifa za wapigakura wake na mfumo wa NIDA ili kurahisisha utambuzi ?

2. Utaratibu wa kupiga kura na kuhesabu ni kwa kutumia karatasi , je mifumo hiyo imesaidia vipi ushindi kwa CCM?

3. Je Kuna tatizo gani CCM kulink mfumo wake na wa NIDA ikiwa hata taasisi nyingine zinafanya hivyo? Je, tatizo ni kwa CCM?

Akamaliza kwa kusema Polepole kwa sasa hajui asemalo ,amepuuzwa kabisa
 
Kasemaje mkuu, naomba unidokeze tu kwa kifupi kama hutojali!

Tuanzie wapi?
Hili ni swali muhimu kwangu, naomba usinichukulie kama mmoja wa wahuni humu mtandaoani. Naomba tu jibu.
Ni kulikataa DUDE la kuchakachulia kura. " Integrated systems". Mfumo wa CCM kuwa integrated kwenye mfumo wa Tume ya uchaguzi na ule wa NIDA.

Huko ndo wanako fetch data za kuchakachulia siyo kura yako.

Polepole katoa suruhisho ni mfumo kufanyiwa Audit (Penetration test) na wataalam nguli walio huru. Ikiwezekana watoke nje ya nchi ili kujiridhisha na alichokisema.

Pili mfumo ule ufumuliwe usitumike. Maana ndo machinery ya kuibia kura.

Hili ndo Dude linalowapa kiburi CCM. Ndiyo maana wanawajenga kisaikolojis kuwa CCM ina wanachama 13M
 
Kuna maswali hapa nimeulizwa ambayo yametokana na alichosema Polepole:

1. Tupo kwenye zama za kidigitali ,je kuna kosa vyama kulink taarifa za wapigakura wake na mfumo wa NIDA ili kurahisisha utambuzi ?

2. Utaratibu wa kupiga kura na kuhesabu ni kwa kutumia karatasi , je mifumo hiyo imesaidia vipi ushindi kwa CCM?

3. Je Kuna tatizo gani CCM kulink mfumo wake na wa NIDA ikiwa hata taasisi nyingine zinafanya hivyo? Je, tatizo ni kwa CCM?

Akamaliza kwa kusema Polepole kwa sasa hajui asemalo ,amepuuzwa kabisa
Usiwe mpumbavu kupita kiasi, ujinga kidogo tu unatosha
 
Kuna maswali hapa nimeulizwa ambayo yametokana na alichosema Polepole:

1. Tupo kwenye zama za kidigitali ,je kuna kosa vyama kulink taarifa za wapigakura wake na mfumo wa NIDA ili kurahisisha utambuzi ?

2. Utaratibu wa kupiga kura na kuhesabu ni kwa kutumia karatasi , je mifumo hiyo imesaidia vipi ushindi kwa CCM?

3. Je Kuna tatizo gani CCM kulink mfumo wake na wa NIDA ikiwa hata taasisi nyingine zinafanya hivyo? Je, tatizo ni kwa CCM?

Akamaliza kwa kusema Polepole kwa sasa hajui asemalo ,amepuuzwa kabisa
1000005529.jpg
 
Tunataka watuletee mabadiliko mezani --- hili hawawezi kufanya
Kwanza Polepole mwenyewe kabembeleza hadi kachoka, pamoja na mizengwe mingi aliyotumia kuwapelekea ujumbe asipasue jipu!

Tulipofikia sasa hivi ni wananchi pekee ndio wanaoweza kuwafikishia ujumbe wa kuwa stua akili na kuwafanya wasite kuendelea na mipango yao miovu.
 
Ngoma bado mbichi, hivyo vyama vingine polepole si amesema ni vyama tanzu kutoka ssm, sasa watakua na muda wa kujiridhisha na suti wamekwisha shonewa. Nadhani kwa hotuba ya polepole chama serious cha upinzania ni cha TAL lkn kwa miaka ya nyuma kupitia FEM maana yake ni kwamba hatukua na chama cha upinzani hata kimoja.
 
Alichokisema Leo polepole ndio kashfa kubwa ya kisiasa tokea tupate Uhuru. Kwamba kuna mfumo wa Siri wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA) umeunganishwa direct na (INEC) Kwa manufaa ya ccm kwenye uchaguzi mkuu. Kwamba mfumo huo utatumika kuiba au kuchakata matokeo ya uongo. Polepole ameongea Kwa hisia na kuvitaka vyama vitakavyoshiriki uchaguzi huo vijiridhishe japo vyote ni vya ccm isipokuwa chadema tu ambao ndio wapinzani wa kweli na wamefunga mikono isivyo haki.
Ubaya wa skendo hii ni kwamba haya mambo yakiwahiwa yakaondolewa mapema na mifumo ikawa huru basi mambo yatakuwa sawa japo tutakuwa tushajua dhamira yao ovu ilikuwa ninini. Lakini jambo hili likiachwa bila kufanyiwa kazi hii ni jinai kuu na itabatilisha hata huo ushindi wa ccm. Moderators msifute Wala kuunganisha huu Uzi.
Kumbe ndiyo maana wakurugenzi wa NIDA huwa ni watu wa TISS!!
 
Ni kulikataa DUDE la kuchakachulia kura. " Integrated systems". Mfumo wa CCM kuwa integrated kwenye mfumo wa Tume ya uchaguzi na ule wa NIDA.

Huko ndo wanako fetch data za kuchakachulia siyo kura yako.

Polepole katoa suruhisho ni mfumo kufanyiwa Audit (Penetration test) na wataalam nguli walio huru. Ikiwezekana watoke nje ya nchi ili kujiridhisha na alichokisema.

Pili mfumo ule ufumuliwe usitumike. Maana ndo machinery ya kuibia kura.

Hili ndo Dude linalowapa kiburi CCM. Ndiyo maana wanawajenga kisaikolojis kuwa CCM ina wanachama 13M
Asante mkuu 'Fanfa'.

Sasa tatizo si lipo hapa! Ni wao ndio wenye uamzi wa kuyakubali au kuyakataa mapendekezo hayo aliyotoa Polepole.

Sasa fikiria mwenyewe, jambo rahisi kama kufanya tu "marekebisho" wanayoyadai CHADEMA ikawa nongwa, na sasa tunakwenda kwenye kampeni za uchaguzi.

Polepole anayo nyenzo gani ya kuwafanya wasitishe jambo ambalo ndilo linawahakikishia ushindi?

Hiyo ndio ilikuwa maana yangu ya kusema "Tutawafanya nini"?

Kumbuka wameshika kila kona: Mahakama, wateule wote kwenye taasisi za maamuzi; na zaidi ya yote, mitutu ya akina Jumanne Mulilo!

WaTanzania wafanye nini ili hayo aliyo pendekeza Pole pole yafanyiwe kazi?
 
Back
Top Bottom