Makongodcrue
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,864
- 2,591
Kwanini CCM pekee na sio vyama vingineMIfumo inatumia mifumo
Kwanini CCM pekee na sio vyama vingineMIfumo inatumia mifumo
Watakuja kusema tumesoma kisomo pumbavu zaoNasubiri reaction ya mashehe ubwabwa na zito kabwe.
KUNA MUDA TUVIACHIE VYOMBO RASMI VIJIBU.4. Dhana ya mifumo kusomana imeeleka vipi kwa Polepole?
5. Kati ni kwa namna gani vyama vya siasa vinaweza kuwa na taarifa za wapigakura katika ulimwengu wa kidigitali bila kulink na mifumo husika?
5. Je ,taarifa za wapigakura au NIDA kisheria hazitakiwa kutumiwa na vyama vya siasa?
6. Je, kulink mfumo Kuna uhusiano wowote wa kubadili taarifa kwenye mfumo? Kwa maana ya kwamba Mimi nimeomba kulink
Huyo wa awamu ya sita hakuwepo awamu ya tano? Kumbuka ni huyohuyo aliyesema yeye na Magufuli ni kitu kimoja, fafanua hicho kitu kimoja ni kipi.Polepole anatapatapa. Yeye na genge lake la awamu ya 5 wasidhani kila awamu ina mashetani kama wao waliopora uchaguzi 2020. Atulie tuko awamu ya 6.
Wagaltia wengi wa JF ni mabwege sana leo shujaaa wao kawa Polepole.Watakuja kusema tumesoma kisomo pumbavu zao
Pumba tupu.Kuna maswali hapa nimeulizwa ambayo yametokana na alichosema Polepole:
1. Tupo kwenye zama za kidigitali ,je kuna kosa vyama kulink taarifa za wapigakura wake na mfumo wa NIDA ili kurahisisha utambuzi ?
2. Utaratibu wa kupiga kura na kuhesabu ni kwa kutumia karatasi , je mifumo hiyo imesaidia vipi ushindi kwa CCM?
3. Je Kuna tatizo gani CCM kulink mfumo wake na wa NIDA ikiwa hata taasisi nyingine zinafanya hivyo? Je, tatizo ni kwa CCM?
Akamaliza kwa kusema Polepole kwa sasa hajui asemalo ,amepuuzwa kabisa
Una utindio wa ubongo. Ndio maana hata unadandia yasiyo kuhusu. Hawa kobazi mna mchango gani katika hili taifa zaidi ya kutia hasara tu. Uhuru hamkusaidia kama.wagalatia. leo pia hamna msaada kama wagalatia. Fakeni zako. Unawaita wagalatia alafu huduma kwa karibia ukubwa nchini mnaeategemeaWagaltia wengi wa JF ni mabwege sana leo shujaaa wao kawa Polepole.
Kwa mfumo uliopo sasa HATA USIPOKWENDA KUPIGA KURA, utaunganishwa automatically kupiga hiyo kura kupitia NIDA yako. Serikali ya kidhalimu sana hii.Kwani wewe ulikuwa unapanga kwenda kupiga kura?
Angalia punguani hili jinga kabisa limekalilishwa chuki huko kwenye viganga wakati Waislam wanapambana kutafuta uhuru wa Tanganyika hata babu yako alikuwa bado yupo porini.Una utindio wa ubongo. Ndio maana hata unadandia yasiyo kuhusu. Hawa kobazi mna mchango gani katika hili taifa zaidi ya kutia hasara tu. Uhuru hamkusaidia kama.wagalatia. leo pia hamna msaada kama wagalatia. Fakeni zako. Unawaita wagalatia alafu huduma kwa karibia ukubwa nchini mnaeategemea
Hawa wanaendeshwa na chuki na mihemko, agenda ya kwanza ya pole pole ilikuwa kurudiwa mchakato wa kumpata mgombea wa uraisi, agenda ya sasa ni ni mabadiliko ya katiba kabla ya uchaguzi, hivi wewe unawezaje kumuelewa mtu kama huyu?Una hoja Sana ila wanavyojibu ndo maana tunaitwa nyumbu
Hata Mimi nimebaki kujiuliza how mfumo uibe wakati kura zinahesabiwa ndani ya chumba mbele ya mawakala
Najua CCM wanaibaga kura Ila labda uniambie kwavituo hewa,rushwa kwa mawakala n.k
Hili la inec na NIDA sijalielewa
Acha kubweka kwenye kura huwa mnafanya uhuni and you should know kwa Sasa wa tanzania sio wajinga.Polepole ni jibwa linalobweka bila madhara. Akiambiwa athibitishe anayoropoka hataweza.
Umeandika ujinga wa kiwango cha SGR.Kuna maswali hapa nimeulizwa ambayo yametokana na alichosema Polepole:
1. Tupo kwenye zama za kidigitali ,je kuna kosa vyama kulink taarifa za wapigakura wake na mfumo wa NIDA ili kurahisisha utambuzi ?
2. Utaratibu wa kupiga kura na kuhesabu ni kwa kutumia karatasi , je mifumo hiyo imesaidia vipi ushindi kwa CCM?
3. Je Kuna tatizo gani CCM kulink mfumo wake na wa NIDA ikiwa hata taasisi nyingine zinafanya hivyo? Je, tatizo ni kwa CCM?
Akamaliza kwa kusema Polepole kwa sasa hajui asemalo ,amepuuzwa kabisa
HADI SASA POLEPOLE VS CCM 5-0 BILA PAMOJA NA MACHAWA NA DOLA ,POLISI NA WOTEE WAPII POLEPOLE ANANDELEA KUWAENYESHAAA ,SWALI KWAKO JE CDM WANAWEZA NAO KUPEWA RUHUSA YA KULINK MFUMO NA NIDA,NEC KWA NAMNA WANAVYOSUMBULIWA NA MAMLAKA JIBU HILI SWALIKuna maswali hapa nimeulizwa ambayo yametokana na alichosema Polepole:
1. Tupo kwenye zama za kidigitali ,je kuna kosa vyama kulink taarifa za wapigakura wake na mfumo wa NIDA ili kurahisisha utambuzi ?
2. Utaratibu wa kupiga kura na kuhesabu ni kwa kutumia karatasi , je mifumo hiyo imesaidia vipi ushindi kwa CCM?
3. Je Kuna tatizo gani CCM kulink mfumo wake na wa NIDA ikiwa hata taasisi nyingine zinafanya hivyo? Je, tatizo ni kwa CCM?
Akamaliza kwa kusema Polepole kwa sasa hajui asemalo ,amepuuzwa kabisa
Shetani MkuuPolepole anatapatapa. Yeye na genge lake la awamu ya 5 wasidhani kila awamu ina mashetani kama wao waliopora uchaguzi 2020. Atulie tuko awamu ya 6.
cc: Zitto Kabwe.Aisome hii kitu hata akiwa amejifunika blanketi ili akawaambie akina Rungwe na Lipumba ambao hawawezi kusoma vema kutokana na umri wao.HATIMAYE Mh POLEPOLE ,kavitaka Vyama vya Upinzani , Kutoshiriki uchaguzi Mkuu wowote ule mpaka Pale Vyama hivo vitakapotumia Wataalam wake kukagua Mifumo ya NIDA, Tume ya Uchaguzi !!.
CCM imepoteza Uhalali wa kujiita Chama Cha Siasa, CCM ni GENGE la WAHUNI na waporaji wa Haki za kuchagua za Watanzania.
CCM Majambazi wa HAKI.
SISI CHADEMA tunasema Bila MABADILIKO Hakuna Uchaguzi.
Na sasa tunasema 'Bila kuruhusiwa kukagua Mifumo ya kidigital ya Tume ya Uchaguzi, na NIDA Wenyewe , HAKUTAKUA NA UCHAGUZI".
Mpumbavu mkubwa wewe, kwahiyo inaondoa ukweli wa Kua CCM INAIBA KURA??Hapo umechemka ndugu. Umejionyesha kuwa hujui kitu kuhusu mifumo ila ndo unajifanya much know.
Tofautisha kudukua na mifumo kuunganishwa ni vitu tofauti.
Kudukua ni "fishing" au "sniffing" na kuunganisha mifumo ni "systems integration".
Kudukua ni uhalifu. System integration siyo uhalifu.
Walichofanya ccm na tume ya uchaguzi ni kuunganisha mfumo wa tume na wa CCM pamoja na NIDA kwa ajili ya kuchukua data kutoka mfumo wa CCM kurahisisha uchakachuaji kwa akili zaidi. CCM wanatumia akili kuiba kura kwa kushirikiana na tume.
Surely,Haya amkeniiiii.
Polepole kajua kudeal na wahuni, kasubiri mpaka wamelala ndio kaja kuliamsha dude🤣🤣🤣
Mambo yapo liveee.
Viongozi wanakwenda kwenye uchaguzi sababu wanauhakika kushinda uchaguzi sababu kuna mifumo inawabeba
www.facebook.com