Wewe ni mpumbavu, hujawahi sikia au kuona maboksi ya kura yamepatikana yakisafirishwa yakiwa na kura ambazo tayari zimeshapigwa kwa mgombea fulani?
Kinachofanyika ni idadi ya wapiga kura wa kituo fulani ijulikane, na hiyo idadi inakuwa kwenye database, idadi ikijulikana inabaki kazi kwao kuingiza maboksi yenye idadi ya kura wanazotaka wao ili kuendana na kile kinachosomeka kwenye database.
Kutokana na waibaji wenyewe kuwa na akili ndogo, hujikuta wameiba mpaka kupitiliza, ndio maana unakuta matokeo huyu kapata 53% na yule 55% kwenye eneo moja. Hizo asilimia inawezekana vipi? Tumia akili kabla ya kubishana wewe punguani