Kafumua jambo kubwa sana kwa watu wenye akili wamemuelewa vizuri sana
Kimsingi haikutegemewa itakuwa ni mbaya kiasi hiki.
Kuingilia mifumo ya uchaguzi ni Uhaini. Lissu anashtakiwa kwa niaba yetu kwa kufanya Uhaini na tunaopaswa kuwashitaki kwa Uhaini!
Kwanini Wana lindwa watu hawa? Hawa kwao korokoroni!