GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
4. Dhana ya mifumo kusomana imeeleka vipi kwa Polepole?

5. Kati ni kwa namna gani vyama vya siasa vinaweza kuwa na taarifa za wapigakura katika ulimwengu wa kidigitali bila kulink na mifumo husika?

5. Je ,taarifa za wapigakura au NIDA kisheria hazitakiwa kutumiwa na vyama vya siasa?

6. Je, kulink mfumo Kuna uhusiano wowote wa kubadili taarifa kwenye mfumo? Kwa maana ya kwamba Mimi nimeomba kulink
Tahira wewe, hivi mnadhan watanzania ni mapoyoyo??.

Kubwa JINGA wewe
 
Jamani naombeni msaada wenu nimesahau email niliyotumia kwenye registration ajira portal account na Kila nikiweka namba ya NIDA naambiwa NIN tayarii imeshatumika naombeni msaada wenu jamn
 
Umeandika ujinga wa kiwango cha SGR.

Nitakujibu maswali kwa njia ya kukuuliza kama ifuatavyo:

1. Tupo kwenye zama za kidigitali ,je kuna kosa vyama kulink taarifa za wapigakura wake na mfumo wa NIDA ili kurahisisha utambuzi ?

Mfumo wa NIDA ni wa chama au wa serikali????
Nje ya CCM, kuna chama kingine kilichounganisha mifumo yake na NIDA?
Wapiga kura ni wa chama gani???


2. Utaratibu wa kupiga kura na kuhesabu ni kwa kutumia karatasi , je mifumo hiyo imesaidia vipi ushindi kwa CCM?

Hujawahi ona watu wakikimbia na masanduku ya kura..????



3. Je Kuna tatizo gani CCM kulink mfumo wake na wa NIDA ikiwa hata taasisi nyingine zinafanya hivyo? Je, tatizo ni kwa CCM?

Hizo taasisi nyingine unazosema zina-link mfumo wake na sehemu nyingine, HUWA WANAFANYA UCHAGUZI????
Kulingana na sheria ya takwimu ni kosa kisheria kutoa takwimu ambazo mamlaka hazijathibisha. Je, huoni kulink mfumo ni njia ya kutoa au kupata takwimu sahihi?

Bado nauliza swali lile, je taasisi binafsi kama mabenki zilizolink mifumo yake na mfumo wa NIDA Kuna makosa yamefanyika?

Kama hakuna Chama kingine Ina maana gani kwako? Je, walitaka kufanya hivyo wakakataliwa?

Sifahamu Hilo la kukimbia na masanduku kwa sababu sijawahi kuthibitisha ila kama kura zimepigwa kwenye masanduku na zinahesabiwa zilizopigwa hapo kulink mfumo wa NIDA au BVR Kuna uhusiano upi na madai yenu?

Chama Cha siasa kulink mfumo wake inahusiana nini na UCHAGUZI?
 
Polepole : Viongozi wanakwenda kwenye uchaguzi sababu wanauhakika kushinda uchaguzi sababu kuna mifumo inawabeba

Mfumo unaotumika kuiba uchaguzi kwa sasa ni NIDA, na ndio lengo ambali serikali ya Samia inayotaka kutumia kushinda uchaguzi

sasa hii sio haki kabisa sisi tulitengeneza mfumo kwa nia njema lakini haiwezekana mfumo huu ukawa wa kutumiwa na CCM kushinda uchaguzi kupitia kwa viongozi wasio na ushawishi

Bila NIDA hakuna namna ambavyo SAMIA anaweza baki kama gombea, anakwenda kugombea kutokana na mpango wa wizi ambao umeshaandaliwa kuiba uchaguzi

Na wakibisha nitataja watu mmoja mmoja walioshiriki kutengeneza hii mifumo na kufanyakazi nao

Hii Jeuri ya CCM lazima ifike mwisho, hii nchi haina dhamana kumilikiwa na CCM , kinachotakiwa kwa sasa ni kuhakikisha kuna mfumo wenye uhuru na uchaguzi wa HAKI

Tubomoe mamifumo na bomoa CCM ili tujenge upya kila kitu , lazima CCM ibomolewe sasa na viongozi wote wa Kisiasa wawe uhuru na kila mtu ashiriki uchaguzi kwa haki

Kusiwe na uchaguzi bila kurekebisha haya mambo , hatuwezi kuwa na uchaguzi ambao CCM inafanya mambo inavyotaka hapo makao makuu.
Ngoja nimnukuu GL ambae akiwa bungeni Aliwa kusema kwa dhati..
"nanukuu" tuassum JPM ni rais mwaminifu kabisa na ikatokea akaja Rais mwingine ambae si mwaminifu kutoka chama chochote cha siasa je tutakuwa salama? 'Mwisho wa kunukuu"

Miaka 5 baadae inatimia kabisa kama wanaosema slow it's TRUE tunahatari kubwa sana kama nchi na tunapaswa kujichunguza kwel kwel.. tupate wapi watu wanaojitoa mhanga kama slow?
 
Hawa wanaendeshwa na chuki na mihemko, agenda ya kwanza ya pole pole ilikuwa kurudiwa mchakato wa kumpata mgombea wa uraisi, agenda ya sasa ni ni mabadiliko ya katiba kabla ya uchaguzi, hivi wewe unawezaje kumuelewa mtu kama huyu?
Anaeleweka sana tu. Kwani CCM huwa mnaruhusiwa kutumia ubongo?
 
Kulingana na sheria ya takwimu ni kosa kisheria kutoa takwimu ambazo mamlaka hazijathibisha. Je, huoni kulink mfumo ni njia ya kutoa au kupata takwimu sahihi?

Bado nauliza swali lile, je taasisi binafsi kama mabenki zilizolink mifumo yake na mfumo wa NIDA Kuna makosa yamefanyika?

Kama hakuna Chama kingine Ina maana gani kwako? Je, walitaka kufanya hivyo wakakataliwa?

Sifahamu Hilo la kukimbia na masanduku kwa sababu sijawahi kuthibitisha ila kama kura zimepigwa kwenye masanduku na zinahesabiwa zilizopigwa hapo kulink mfumo wa NIDA au BVR Kuna uhusiano upi na madai yenu?

Chama Cha siasa kulink mfumo wake inahusiana nini na UCHAGUZI?
NIDA na chama siasa wapi na wapi, au wote wenye nida ni wanachama wa CCM? Mbona unaandika matope?
 
Hii kitaalamu ni kuwa CCM amekuwa, na anaweza kuyachezea matokeo ya chaguzi atakavyo.

"Haya ndiyo ambayo wamekuwa wanayapigia kelele Kenya na Odinga kwa kauli mbiu yao almaarufu, wafungue chungu!"

View attachment 3448602

Kwamba mnaweza kuwa mlikuwapo, kila kitu sawa, ghafla bin vuuu! Tarakimu zinabadilika kuwa zozote. Alisema Cheyo alikwenda na mkewe kupiga kura, ati kuwa hata mkewe hakumpigia! Akihusisha tukio hilo CCM labda kuwa na majini!

Hii inajibu sababu za kukataa kwa tume kura kuhesabiwa vituoni, kubakia vituoni kulinda kura, vyama kuwa na vituo vyao vya kujumlishia matokeo na longo longo zote kuhusiana wasimamizi wa uchaguzi wa vyama, kura za mapema Zanzibar n.k. Kumbe zote zimekuwa ni hila!

Kwa mtaji huu, wasimamizi wa vyama wasionunulika au wenye kukaba vilivyo almaarufu hadi penalty aina za kina Mdude, Soka, Ben na wenzao wangenusurika wapi?

Ameomba msamaha Polepole kwa kuhusika kwenye moja kwa moja kwenye hili. Kwa hakika ni heri yeye vinginevyo tungeujulia wapi u fedhuli huu? Wanasema ni heri nusu shari.

"Mungu ambariki Polepole, Mungu ambariki TAL. Kwa hakika hatuko mbali na nyumbani"

No Reforms no Election!

Pia soma: NRNE na mazagazaga yake ni mpango wa Mungu. Nani ajuaye kuwa Polepole leo, hatutajua walipo wenzetu waliopotea na yote ya uvunguni?
Hiyi ndiyo sababu tulitaka mtu msomi mwenye maarifa kama Mh Tundu Antipas Lissu awe Chairman wa chama cha upinzani kikuu ili aichakaze CCM sio mtu hajasoma ,mzee msaliti kama yule.
 
Kulingana na sheria ya takwimu ni kosa kisheria kutoa takwimu ambazo mamlaka hazijathibisha. Je, huoni kulink mfumo ni njia ya kutoa au kupata takwimu sahihi?

Bado nauliza swali lile, je taasisi binafsi kama mabenki zilizolink mifumo yake na mfumo wa NIDA Kuna makosa yamefanyika?

Kama hakuna Chama kingine Ina maana gani kwako? Je, walitaka kufanya hivyo wakakataliwa?

Sifahamu Hilo la kukimbia na masanduku kwa sababu sijawahi kuthibitisha ila kama kura zimepigwa kwenye masanduku na zinahesabiwa zilizopigwa hapo kulink mfumo wa NIDA au BVR Kuna uhusiano upi na madai yenu?

Chama Cha siasa kulink mfumo wake inahusiana nini na UCHAGUZI?
Huko NIDA ni Wana CCM tu?.

Huko Tume ya Uchaguzi ni Wana CCM tu

Jitahidi Kuficha Ujinga wako kwenye Hadhira.
 
Ndio maana ndugu wanakua na uhakika sana
Daah taratibu tu mtasema kila kitu
 
Back
Top Bottom