GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kabisa nchi imeoza sana yani sana kwakweli mabadiliko yafanywe CCM ichutame nyeti zake zimefunuliwa zipo wazi
We ndio umeoza akili, yaani unashindwa kutuliza akili ukaelewa huo uchafu tu amejitungia. Huyo mbwa koko ana access gani kujua yote, mtu hujiulizi unaibuka na upuuzi km huu wa kwako? Mna viwango duni sn vya uelewa
 
Kila mwenye kitambulisho cha NIDA kashapiga kura na zinasubiri kutangazwa tu, hili ndilo Bomu la Ndugu Polepole akivitaka vyama vyote vya upinzani kuomba tume huru au watu huru wataalam wa kompyuta kwenda kuthibitisha aliyoyasema.
NAdhani amejaribu tafuta sababu ya kuamsha ari ya watu kukataa uchaguzi, ila kama ni uchaguzi huru tatizo la kwanza ni muundo wa katiba ya nchi na tume ya uchaguzi. Hata wakifuta hio mifumo bado ccm wanashinda....sioni ni vipi wanatumianhio mifumo kwakuwa kura zenyewe si electronic! Madai ya wapinzani yana nguvu zaidi kuliko hoja ya mifumo aliyo leta.
 
Naam,
wapumbavu Octoba msiache kwenda kutiki kiinimacho
 
Wananchi huko mitaani na vijijini wanaulizwa namba zao za NIDA na namba za account zao za beki, kumbe lengo waweze kutrack namba ya mtu ya kitambulisho cha mpiga kura ili waweze kutiki juu kwa juu. Uhuni mtupu!
 
kwahiyo hili ndio neno la polepole lililokua linasubiliwa kua litatikisa nchi?
 
Wale wala ubwabwa na zambarau huwaambii kitu, washaambiwa mgao wao ukoje basi mate yanawatoka wanaona oktoba inachelewa.
hao zambarau wamelewa mvinyo wa kijani huwaambii kitu kuhusu wizi huu wa kura, wanachotaka ni mgao wao wa kupewa kata na majimbo kadhaa nao walambe ruzuku kama wengine waliolamba
 
Mifumo iliundwa kwa nia njema,ila kuna kikundi cha wahuni wameingilia mifumo na huitumia kwa kuteka,kuuwa,kubaka,kuiba kura,hao wahuni tayr wameshajulikana
Na Hiki ndicho kilichofanyika 2015 na 2020
 
Rubbish. Leo ukikamatwa na traffic police overspending unaoewa control number unalipa. TIN number ya TRA na leseni ya udereva yako vinasomana. Ukipotea ughaibuni ukitoa passport number yako wanakupata kuliko. Ukienda Kilimanjaro Hotel unalipa kwa control number ya tigopesa. Ukimunua nguzo dukani unalipa kwa simu yako. Askofu Bagonza anapikea dadaka za Mungu kwa kutumia tigopesa. Mifumo rndelevu husomana, wacheni ujinga. Ni Kikwete aliyesena AJULI YA KUAMBIWA (na Polepole) na wewe tia yako. Idiots
 
Akizungumza kwa njia ya mtandao, aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amedai kuwa mifumo ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (#INEC) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imeunganishwa na ile ya Chama cha Mapinduzi (CCM), akisisitiza kuwa yeye pia ni miongoni mwa wasanifu wa mifumo hiyo.
 
NAdhani amejaribu tafuta sababu ya kuamsha ari ya watu kukataa uchaguzi, ila kama ni uchaguzi huru tatizo la kwanza ni muundo wa katiba ya nchi na tume ya uchaguzi. Hata wakifuta hio mifumo bado ccm wanashinda....sioni ni vipi wanatumianhio mifumo kwakuwa kura zenyewe si electronic! Madai ya wapinzani yana nguvu zaidi kuliko hoja ya mifumo aliyo leta.
Mkuu huoni kwamba uwepo tu wa mfumo huo kwa mujibu wa Polepole ni tuhuma nzito kabisa huenda kuliko hata uhaini wenyewe?
 
Rubbish. Leo ukikamatwa na traffic police overspending unaoewa control number unalipa. TIN number ya TRA na leseni ya udereva yako vinasomana. Ukipotea ughaibuni ukitoa passport number yako wanakupata kuliko. Ukienda Kilimanjaro Hotel unalipa kwa control number ya tigopesa. Ukimunua nguzo dukani unalipa kwa simu yako. Askofu Bagonza anapikea dadaka za Mungu kwa kutumia tigopesa. Mifumo rndelevu husomana, wacheni ujinga. Ni Kikwete aliyesena AJULI YA KUAMBIWA (na Polepole) na wewe tia yako. Idiots
Mkuu hivi ni kweli kwamba walimu wako walipata taabu sana kukufundisha?

Mfumo wa INEC+ NIDA unafanya nini katika mifumo ya chama tawala?

Nakushauri kamsikilize Polepole tena. No spinning this time!

Je unaelewa maana ya letter I kwenye INEC?
 
Mkuu huoni kwamba uwepo tu wa mfumo huo kwa mujibu wa Polepole ni tuhuma nzito kabisa huenda kuliko hata uhaini wenyewe?
Mimi napata shida kuelewa uzito wa hio hoja, na sababu ni moja tu..hata wasinge unganisha hio mifumo, basically kuna probability kubwa tu walio shikilia hizo ofisi kama wakuu wa hizo ofisi na wasaidizi wao ni wanachama wa CCM kindakindaki! Hivyo wako connected na wana lengo moja hata kama hakuna mifumo ya computer! Ndio maana kuna kauli kuwa upinzani wa kweli utatoka CCM na siku ikigawanyika ndio inaweza toka ktk utawala. Sasa kama ni kashfa tuanze na ipi? Ya mifumo ya computer kuunganishwa au ya wakuu wa vyombo na ofisi nyeti kuwa wana CCM? Hilo la uhaini nadhani ni jambo lingine, sitaligusia.
 
Usichanganye habari mkuu.

Hakuna kosa lolote kwa mkuu au mtumishi wa taasisi kama NIDA kuwa mwanachama wa chama cha siasa.

Lakini tuhuma ya mfumo wa INEC kuingiliwa na chama kama asemavyo Polepole ni zaidi ya tuhuma ya uhaini.

Hayo ni mambo mawili tofauti kabisa.

Hiyo kitaalam inaitwa systemic fraud (udanganyifu uliosukwa na kuhalalishwa kimfumo).

Mtu wa kawaida hawezi kubaini na ni ghali mno kudhibiti.

Hii haina tofauti sana na mtambo wa kuchapisha na kuidhinisha pesa bandia.
 
Nadhani swala la uanachama ni kweli kisheria ni haki yao! Lakini ninachosema ni hilo hilo unalo taka shangaa kunako mifumo, na mimi ninacho kwambia wameanza ungana watu ktk itikadi na malengo yao kisha hio mifumo ni tools tu wanazotumia. Kifupi CCM ndio taasisi pekee iliyo jipenyeza ktk taasisi zote nyeti hapa nchini.
 
Sasa hapa ni bayana unazungumzia POSSIBILITY & PROBABILITY.

Jamaa yeye amefichua UHALISIA na USASA wa mambo.

Je tupuuze uhalisia wa kuwepo mwingiliano haramu wa mifumo kwa kigezo kwamba kuna POSSIBILITY ya matendo mengine haramu kufanywa katika namna zingine?

Kwa maneno mengine, CCM iachwe iendelee na mchafukoge wake as usual, licha ya hili bomu la oreshnik, eti kwa sababu tu ina mbinu zingine chungu nzima?
 
Back
Top Bottom