Polepole hana athari zozote kisiasa na kijamii. Asanteni Watanzania kwa kumpuuza

kwasababu ni upotoshaji mtupu,
sia arikodi tu hata kwa simu kisha aiweke hicho alichosema mtandaoni.

mbona rahisi tu gentleman lakini mnawewesekaaaaaa
Leo mnazima saa ngapi tujue mapema.Maana leo kasema ni tarehe 21 ya kukumbukwa.Sema acheni tabia za kitoto kukata mtandao ni usengerema
 


Then why uwa mnazima internet kama hana madhara?
 
Leo mnazima saa ngapi tujue mapema.Maana leo kasema ni tarehe 21 ya kukumbukwa.Sema acheni tabia za kitoto kukata mtandao ni usengerema
nunua mb gentleman acha kuficha hali yako kiuchumi kwa kusingizia mambo kitoto hivyo gentleman
 
Kumbe tuna watu wazima humu hopeless 😂😂😂

Km system inakupa kula jiandae kisaikolojia , wapuuzi km nyie kwenye Taifa ndo mnatuharibia
relax bana,
mihemko inayopelekea uropokaji wa kipotoshaji kama huu hausaidii sana kuleta mageuzi
 
Asingekuwa nazo,ungenyamaza KIMYAA!
 
Ufisadi anaoufanya Aziz kwako ni sawa tu! Wewe ni mjinga na mpumbavu yaani unaipenda CCM na ufisadi unaofanywa na baadhi ya wanachama wake!
 
Una kilo ngapi mpaka Sasa?,Ongeza lishe!
 
nakuhurumia ewe kijana mpambanaji usie na hatia kubebwa ufala na huyo mpotoshaji,

ni vizuri kuendelea na shughuli zako za kujipatia kipato kuliko kujifedhehesha na kujipa hasara kusuburi nonsense
Katibu Mwenyezi, Mbunge , Balozi wa nchi kubwa,tusiamini maneno yake ila Yako ni UPUMBAVU!
 
Unaota ndoto za Mchana,hatumpuuzi,huo ndio ukweli!
 
jikite kwenye hoja kwa heshma gentleman,
huana haja ya kuropoka na kuwavunjia heshima viongozi na wadau wa JF.

KAA KIMYA IKIWA UKO POINTLESS
KAA KIMYA IKIWA UKO POINTLESS,Kaa kimya tlaahtlaah!
 
Mbona post zako ni za aina Moja tuuuu!!?? Polepole amekuwa Polepole. Hii ni dalili ya uogaaa! Mnajibalaguza tu, na bado. Mpaka mfe na presha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…