Polepole hana athari zozote kisiasa na kijamii. Asanteni Watanzania kwa kumpuuza

Ni kweli uyasemayo ndugu chawa.

CCM dude kubwa sana mna wanachama wengi na ni chama tajiri mno na wananchi wana wapenda sana.

Sasa fanyeni reform za katiba na tume huru halafu uchaguzi uwe huru na haki wakuu ,mbona mnaogopa wazee shida iko wapi na ninyi ni chama pendwa?
 
Yaani mnaanza tena kutisha watu jameni? Yale tunayoyakataa ndio mnazidi kupanga kuyafanya? Hili gari liko liko speed 120 kulisimamisha ghafla haiwezekani.

Tuvumiliane tu, tunaumia lakini humo humo tunaponak
 
Mbona machawa mnawasikiliza
Na wakiongea uongo mwingi
Na wanaosema ukweli mnataka mmwapuuzie
 
Hizi "ad hominem logical fallacy" zenu mnapoteza nazo muda humu JF... Wale mliowapa Baiskeli hawana account humu..
 
Kushindana na mtu ambaye hana serikali Wala bunduki...inatakiwa uwe makini, maana yeye nguzo kubwa kwake ni akili yake kichwani...anatumia sana akili kuliko wewe unayetumia siraha na jeshiπŸ˜„
 

Anapotosha nini? Polepole ana hoja SEMA HOJA ZAKE NI NGUMU KUZIJIBU NA ZINATAKA AKILI
 
Kushindana na mtu ambaye hana serikali Wala bunduki...inatakiwa uwe makini, maana yeye nguzo kubwa kwake ni akili yake kichwani...anatumia sana akili kuliko wewe unayetumia siraha na jeshiπŸ˜„
kwahiyo huo msukule una akili gentleman?🀣
 
Anapotosha nini? Polepole ana hoja SEMA HOJA ZAKE NI NGUMU KUZIJIBU NA ZINATAKA AKILI
kila anacho kueleza na kukubeba ufala kifikra ni upotoshaji mtupu,

nawe ulivyo na akili nyepesi unabugia tu matango pori anayokulisha πŸ’
 
Tena mnasababisha hata sisi tunaosoma PhD kwa YouTube tupate shida kisa tu mnaogopa maneno ya pole pole
upo online JF kisha unalalamikia internet

surely?
umesoma kweli hata certificate tu wewe gentleman?πŸ’
 
Unaowapigania wanakosausingizi,wakati wewe unalala unakoromawenyewe wamefika mahali hawakuelewi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…