Kosa la Polepole ni nini?,kusema ukweli hii ni awamu ya tano,rais wa sita?Polepole anatakiwa kujua Samia ni Amiri Jeshi Mkuu!
Anaesema hii ni awamu ya Sita ni Rais Samia Mwenyewe! Sasa kama anapinga hii sio awamu ya Sita ajue anapingana na Rais Samia mwenyewe!
Kifupi anatakiwa ajue sonono aliyokuwa nayo juu ya Rais Samia sasa itaenda kumuonesha kuwa Samia ni Rais Kweli na Amiri Jeshi Mkuu