Polepole: Hii sio awamu ya Sita bali ni ya Tano kipindi cha pili, aliyeondoka ni Magufuli peke yake

Polepole: Hii sio awamu ya Sita bali ni ya Tano kipindi cha pili, aliyeondoka ni Magufuli peke yake

Polepole anatakiwa kujua Samia ni Amiri Jeshi Mkuu!

Anaesema hii ni awamu ya Sita ni Rais Samia Mwenyewe! Sasa kama anapinga hii sio awamu ya Sita ajue anapingana na Rais Samia mwenyewe!

Kifupi anatakiwa ajue sonono aliyokuwa nayo juu ya Rais Samia sasa itaenda kumuonesha kuwa Samia ni Rais Kweli na Amiri Jeshi Mkuu
Kosa la Polepole ni nini?,kusema ukweli hii ni awamu ya tano,rais wa sita?
 
Kama ndivyo
Asingeapa,
Asingepigiwa mizinga,
Asingebadilisha baadhi ya mifumo.
Huyu ni Rais wa awamu ya 6.
Sera za mwelekeo wa chama siyo sheria zilizomuingiza Rais.

Kama siyo Rais wa awamu 6
Hakupaswa kuapa wala kupigiwa mizinga kwani ilipigwa 2020.
Polepole hiyo hoja unamdhiki aliyeapa na unalidhihaki JWT kwa kuonyesha utii kwa aliyeapa march 2021 nakupandishwa Bendera ya awamu yake.
 
Polepole is very, very right. Endelea kubisha mpaka upasuke ^car-bee-sir!!!^ Awamu ya 5 inaishia 2025, unless Bunge livunjwe.
 
Ila polepole naona anawashika vibaya hawa watu.
Ngoja niendelee kuangalia hii season
 
Mbona mnalazimisha iwe awamu ya 6? Awamu wa 5 ya CCM ambayo Samia alikuwa Makamu wake ina nini?
Kama ndivyo
Asingeapa,
Asingepigiwa mizinga,
Asingebadilisha baadhi ya mifumo.
Huyu ni Rais wa awamu ya 6.
Sera za mwelekeo wa chama siyo sheria zilizomuingiza Rais.

Kama siyo Rais wa awamu 6
Hakupaswa kuapa wala kupigiwa mizinga kwani ilipigwa 2020.
Polepole hiyo hoja unamdhiki aliyeapa na unalidhihaki JWT kwa kuonyesha utii kwa aliyeapa march 2021 nakupandishwa Bendera ya awamu yake.
 
Kwa tafsiri za Mr Slowslow 2025 watia nia watakuwa zaidi ya mmoja kwa chama tawala na fomu za Urais itakuwa ruksa kwa yeyote
 
Kwa tafsiri za Mr Slowslow 2025 watia nia watakuwa zaidi ya mmoja kwa chama tawala na fomu za Urais itakuwa ruksa kwa yeyote
Kwani after 5 years ya muhula wa kwanza, mtu anazuiwa kuchukua fomu!???
 
Polepole anatakiwa kujua Samia ni Amiri Jeshi Mkuu!

Anaesema hii ni awamu ya Sita ni Rais Samia Mwenyewe! Sasa kama anapinga hii sio awamu ya Sita ajue anapingana na Rais Samia mwenyewe!

Kifupi anatakiwa ajue sonono aliyokuwa nayo juu ya Rais Samia sasa itaenda kumuonesha kuwa Samia ni Rais Kweli na Amiri Jeshi Mkuu
Kuwa Amiri Jeshi Mkuu si kuogopwa. Bali ni heshima tu. Mie nadhani hii ya makamu kuwa Rais ili kuondoa sintofahamu. Makamu wa Rais ashike madaraka ya urais kwa kipindi cha miezi kadhaa kuelekea uchaguzi wa Rais. Iwapo Rais atakuwa amefariki.
Kwa sababu Makamu wa Rais uwa apigiwi kura kiuhalisia bali mgombea urais. Tunajidanganya ati wanapigiwa wote. Picha uwekwa pamoja, lkn watu utazama nani anafaa urais. Huyo makamu uenda hata picha undani wake watu hawana habari nayo.
 
Back
Top Bottom