Kosa la Polepole ni nini?,kusema ukweli hii ni awamu ya tano,rais wa sita?Polepole anatakiwa kujua Samia ni Amiri Jeshi Mkuu!
Anaesema hii ni awamu ya Sita ni Rais Samia Mwenyewe! Sasa kama anapinga hii sio awamu ya Sita ajue anapingana na Rais Samia mwenyewe!
Kifupi anatakiwa ajue sonono aliyokuwa nayo juu ya Rais Samia sasa itaenda kumuonesha kuwa Samia ni Rais Kweli na Amiri Jeshi Mkuu
Yeye enzi zake alikuwaje?Tena wamteke kabisa akutwe kwny viroba huko.Mjibuni kwa hoja badala ya vitisho simply mna vyombo vya dola!
Na Ilani gani ya CCM ilikua inazungumzia kujengwa kwa uwanja wa Mpira Chato?Mang'ula amesema ilani ya uchaguzi ilizunguzia kujenga gati bagamoyo huyu rais atuonyeshe ilani yake aliyoingia nayo kwenye uchaguzi
Uzezeta bado haujakutoka tu. kila kitabu na zama zake.zama za samia na kitabu chakeKuita hii Ni awamu ya sita Ni uzuzu, Ni rais wa sita lakini awamu ya tano
Hawataki huu ukweliMbona hili liko wazi kabisa ,halihitaji hata tochi,awamu Ni mtu na Wala so miaka Wala vipindi,so hii Ni serikali ya awamu ya sita
KivipiPM amechafuka.....Mama Avunje Bsraza lake lote waanze upya
Tafuta bandiko kashfa nzito ya sukariKivipi
Katiba inasema Rais akifa au kuzorota afya na bunge livunjwe?Polepole is very, very right. Endelea kubisha mpaka upasuke ^car-bee-sir!!!^ Awamu ya 5 inaishia 2025, unless Bunge livunjwe.
ignotum per ignotiusKatiba inasema Rais akifa au kuzorota afya na bunge livunjwe?
Kama ndivyo
Asingeapa,
Asingepigiwa mizinga,
Asingebadilisha baadhi ya mifumo.
Huyu ni Rais wa awamu ya 6.
Sera za mwelekeo wa chama siyo sheria zilizomuingiza Rais.
Kama siyo Rais wa awamu 6
Hakupaswa kuapa wala kupigiwa mizinga kwani ilipigwa 2020.
Polepole hiyo hoja unamdhiki aliyeapa na unalidhihaki JWT kwa kuonyesha utii kwa aliyeapa march 2021 nakupandishwa Bendera ya awamu yake.
Hivi katiba inasema Rais aliyepo madaraka nafasi yake ikiwa wazi hivyo, awamu inabadilika!???Katiba inasema Rais akifa au kuzorota afya na bunge livunjwe?
Kwani after 5 years ya muhula wa kwanza, mtu anazuiwa kuchukua fomu!???Kwa tafsiri za Mr Slowslow 2025 watia nia watakuwa zaidi ya mmoja kwa chama tawala na fomu za Urais itakuwa ruksa kwa yeyote
Kuwa Amiri Jeshi Mkuu si kuogopwa. Bali ni heshima tu. Mie nadhani hii ya makamu kuwa Rais ili kuondoa sintofahamu. Makamu wa Rais ashike madaraka ya urais kwa kipindi cha miezi kadhaa kuelekea uchaguzi wa Rais. Iwapo Rais atakuwa amefariki.Polepole anatakiwa kujua Samia ni Amiri Jeshi Mkuu!
Anaesema hii ni awamu ya Sita ni Rais Samia Mwenyewe! Sasa kama anapinga hii sio awamu ya Sita ajue anapingana na Rais Samia mwenyewe!
Kifupi anatakiwa ajue sonono aliyokuwa nayo juu ya Rais Samia sasa itaenda kumuonesha kuwa Samia ni Rais Kweli na Amiri Jeshi Mkuu