Polepole: Hii sio awamu ya Sita bali ni ya Tano kipindi cha pili, aliyeondoka ni Magufuli peke yake

 
Sixth regime under Chief Hangaya ni awamu ya kichief, awamu yenu ilisha pita infact "kila mfalme na kitabu chake" mambo ya awamu hayajaelezwa kwa undani kwenye katiba labda mahakama itafsiri vizuri zaidi.
 
Mjadala umejadiliwa sana unauleta tena. Su-vaginer gang mna shida sana
 
MBONA UNASUMBUKA BULE SISI MA GENIUS TUNAJUA AWAMU NI MBILI TU TOKA UHURU ,......SERIKALI YA AWAMU YA WAZALENDO NA SERIKALI YA AWAMU YA WAHUNI BASI ,
Na tuliyonayo sasa ni serikali ya awamu ya wahuni
 
CCM wakisema ni sheria, mdomo wako utakuponza kwa kuichonganisha serikali na wananchi.
 
Wadau naomba mwenye Uelewa Sahihi atufahamishe hii SERIKALI iliyopo MADARAKANI ni ya AWAMU ya ngapi ?

 
Awu ya 5 muhula wa pili rais wa 6.

Hii iko wazi. Awamu inatokana na uchaguzi, sasa wanafiki wanaolamba watu miguu wanaiita awamu ya sita wakati hakuna uchaguzi.
 
Yaani wanaodai hii ni awamu ya sita basi akili zao zinarudi kinyumenyume sana, maana haiwezekani useme uko awamu ya sita kisha unatekeleza ilani ya uchaguzi ya awamu ya tano.

Wakitaka iwe ya sita waitishe uchaguzi mkuu tu, waache kujidanganya maana wanaongozwa na manifesto ya magu hata fikra zao bado ni za kimagufuli magufuli tu. za awamu ya tano.
 
Wale wanaoona hii bado ni awamu ya tano nawashauri waende kumalizia hiyo awamu 5 kule alipolazwa mpendwa wao.
 
Hangaya na wenzake wameamua kuiita kuwa hii ni awamu ya sita kimkakati. Wanaita hivyo ili kwanza kupunguza mvutano kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Wanamaanisha kuwa being ni awamu ya sita ina maana wanajipa kipindi cha kwanza na hivyo kulazimisha kuwa rais aliepo sasa hatakiwi kupingwa kama utaratibu wao ulivyo kuelekea kipindi cha pili cha utawala. Pili, ni uchu tu wa madaraka ndio unawafanya waite hii kuwa ni awamu ya sita, lakini kiukweli hii ni awamu ya tano kipindi cha pili.
 
Awu ya 5 muhula wa pili rais wa 6.

Hii iko wazi. Awamu inatokana na uchaguzi, sasa wanafiki wanaolamba watu miguu wanaiita awamu ya sita wakati hakuna uchaguzi.
Kama iko wazi kwa nini bado mnabishana?
 

Yaani mtu kama huyu anapewa ubunge🤔
 
Jambo lingine muhimu ni kwamba wanajua wakiita AWAMU YA 5, sifa otomatikali zinarudi kwa Anko wa Chattle; na hilo hawalipendi kabisa kusikia hawa ^war-two!^

They wished that name had simply vanished into oblivion, but soon they realize it goes nowhere. Actually their very positions are intricately and inseparably connected to his praiseworthy legacy.

And, it's true, as they say, his name has been literally preserved ^in all the capitals of Africa^ (katika makabati yote ya Afrika)!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…