Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MBONA UNASUMBUKA BULE SISI MA GENIUS TUNAJUA AWAMU NI MBILI TU TOKA UHURU ,......SERIKALI YA AWAMU YA WAZALENDO NA SERIKALI YA AWAMU YA WAHUNI BASI ,Wadau naomba kumpatia UFAFANUZI juu ya Utawala uliopo ni wa AWAMU ya NGAPI? Wapo wanaosema ni Wa AWAMU ya 5 Na Hoja yao ni Mwendelezo wa Awamu ya 5 na Kwamba ILANI ni ile ile ya Awamu ya 5 na Uchaguzi ni ule ule wa 2015 na 2020
Ila Wale wanaosema Awamu ya 6 sijasikia
HOJA zao.
Naomba tujulishwe hii ni AWAMU ya 5 Au ya 6?
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
CCM wakisema ni sheria, mdomo wako utakuponza kwa kuichonganisha serikali na wananchi.Wadau naomba kumpatia UFAFANUZI juu ya Utawala uliopo ni wa AWAMU ya NGAPI? Wapo wanaosema ni Wa AWAMU ya 5 Na Hoja yao ni Mwendelezo wa Awamu ya 5 na Kwamba ILANI ni ile ile ya Awamu ya 5 na Uchaguzi ni ule ule wa 2015 na 2020
Ila Wale wanaosema Awamu ya 6 sijasikia
HOJA zao.
Naomba tujulishwe hii ni AWAMU ya 5 Au ya 6?
Nape anasema AWAMU ya 5 na AWAMU ya 6 ni tofauti he AWAMU ya 6 ilianza lini?Awu ya 5 muhula wa pili rais wa 6.
Hii iko wazi. Awamu inatokana na uchaguzi, sasa wanafiki wanaolamba watu miguu wanaiita awamu ya sita wakati hakuna uchaguzi.
Kama iko wazi kwa nini bado mnabishana?Awu ya 5 muhula wa pili rais wa 6.
Hii iko wazi. Awamu inatokana na uchaguzi, sasa wanafiki wanaolamba watu miguu wanaiita awamu ya sita wakati hakuna uchaguzi.
Wakuu,
Mbunge wa kuteuliwa na mtunga Sheria Humphrey Polepole, anadai hii awamu ya rais Samia sio awamu ya sita.
Rais Samia alisema yeye ndiye rais ya awamu ya Sita. Kwamba ni awamu ya sita kipindi cha kwanza.
"Hii serikali sio mpya,haikupigiwa kura, huwezi ukaita awamu ya sita, awamu lazima iwe na miaka10, ilani na Sera zinazopaswa kutekelezwa ni zile tulizozinadi 2020, asiwadanganye mtu kuwa hii ni awamu ya sita,Kwa sababu aliyeondoka ni Magufuli peke yake" kasema polepole.
RAIS SAMIA ANASEMA UFISADI ULIFANYIKA AWAMU ZILIZOPITA SIO AWAMU YAKE YA SITA
"Kuna makundi wanajua wanayoyafanya ndani ya serikali, na yanageuka kusema serikali ya awamu ya 6 ufisadi umerudi mambo yako hovyo kumbe wao ndio wako hovyo, mambo hayo yalifanyika huko nyuma, gari bovu linaangushiwa awamu ya 6 sitakubali"
Rais Samia Suluhu akiwa Bandarini.
Je, nani yupo sahihi na Sheria inasemaje?
View attachment 2041066
Jambo lingine muhimu ni kwamba wanajua wakiita AWAMU YA 5, sifa otomatikali zinarudi kwa Anko wa Chattle; na hilo hawalipendi kabisa kusikia hawa ^war-two!^Hangaya na wenzake wameamua kuiita kuwa hii ni awamu ya sita kimkakati. Wanaita hivyo ili kwanza kupunguza mvutano kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Wanamaanisha kuwa being ni awamu ya sita ina maana wanajipa kipindi cha kwanza na hivyo kulazimisha kuwa rais aliepo sasa hatakiwi kupingwa kama utaratibu wao ulivyo kuelekea kipindi cha pili cha utawala. Pili, ni uchu tu wa madaraka ndio unawafanya waite hii kuwa ni awamu ya sita, lakini kiukweli hii ni awamu ya tano kipindi cha pili.