GE2025 Polepole: Kuna mtu fulani Ofisi Binafsi ya Rais anamkosea sana Samia, anamchomekea maneno fulani ya uongo na kuchukiza kwa watu

GE2025 Polepole: Kuna mtu fulani Ofisi Binafsi ya Rais anamkosea sana Samia, anamchomekea maneno fulani ya uongo na kuchukiza kwa watu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mpuuzi polepole hana jipya ni speculations tu ila wajinga kama wewe unaingizwa cha kike

USSR
1. Kwani siyo kweli kwamba mama alipiga picha na mhuni Chivayo akiwa kavaa kanga?.
2. Kwani siyo kweli kwamba mama anachota fedha Tanganyika na kuipeleka Zanzibar mpk anafanya huduma za afya kuwa bure?.

Sasa uwongo wa Polepole ni upi?
 
Kama Ubongo wako ukishindwa kuchakata kitu hapa... kuelewa.....,

Basi ubongo wako unabidi ufanyiwe total brain overhaul!

Kujua yajayo...yanatarajiwayo....Basi unapaswa kuamini tu ya kwamba ....BWANA ATATENDA!... hiyo tu inatosha sana kwa sasa!
 

Attachments

  • 1000023995_compress_1.mp4
    6.4 MB
  • 1000023996_compress_1.mp4
    6.1 MB
  • 1000022173_compress_1.mp4
    4.9 MB
Hilo lipo muda mrefu sana, kuna muda unaona kabisa mbona aliyepewa kazi anaharibu makusudi
 
Kama Ubongo wako ukishindwa kuchakata kitu hapa... kuelewa.....,

Basi ubongo wako unabidi ufanyiwe total brain overhaul!

Kujua yajayo...yanatarajiwayo....Basi unapaswa kuamini tu ya kwamba ....BWANA ATATENDA!... hiyo tu inatosha sana kwa sasa!
Wana mtandao bado wapo sana mkuu
 
Back
Top Bottom