chambo rashidi
JF-Expert Member
- May 30, 2018
- 334
- 370
Yupo shimoni huyo sloWewe na Id fake unajiona una akili kuliko Pole pole anayejitokeza hadharani
Yupo shimoni huyo sloWewe na Id fake unajiona una akili kuliko Pole pole anayejitokeza hadharani
Lile jengo analohutubia YouTube ni shimo wewe kilazaYupo shimoni huyo slo
Ahaaa kumbe ni chuki kwa Wazanzibari!!1. Kwani siyo kweli kwamba mama alipiga picha na mhuni Chivayo akiwa kavaa kanga?.
2. Kwani siyo kweli kwamba mama anachota fedha Tanganyika na kuipeleka Zanzibar mpk anafanya huduma za afya kuwa bure?.
Sasa uwongo wa Polepole ni upi?
Havana Kuuba!Petroli na dizeli tzs 300 kwa lita huko Kuuba!
We kenge huyo basha wako anaishi kama digi digiLile jengo analohutubia YouTube ni shimo wewe kilaza
Roho mbaya na chuki kwa Wazanzibari ndio zinakusumbua.Jambo lililo wazi kama hili, lakini watu wenye akili timamu bado hawaelewi; sijui hapo kufanyike nini ndipo waelewe!
Samia akikaa madarakani miaka mitano, Zanzibar haitakuwa na haja ya kuendelea kuwa kwenye muungano; kwa sababu mahitaji yake yote itakuwa imekwisha yatimiza.
Kawaulize hao wazanzibar wenye roho nzuri wanaowapenda watanganyika!Roho mbaya na chuki kwa Wazanzibari ndio zinakusumbua.
Wewe kinachokusumbua ni udini tuRoho mbaya na chuki kwa Wazanzibari ndio zinakusumbua.